cheupe dawa
Senior Member
- Apr 3, 2016
- 172
- 131
hahahahahaahaaaaaaaaaaHakuna binadam anaeshika mimba haraka kama housegirl! Kuwa makini bro
hahahahahaahaaaaaaaaaaHakuna binadam anaeshika mimba haraka kama housegirl! Kuwa makini bro
Nikamchukulie mwenye heshima afu anipe mwenye Wenge huyoPambavu ukimtaka kamchukulie kijijini

Hivi kwanini???Hakuna binadam anaeshika mimba haraka kama housegirl! Kuwa makini bro

Ivi na wewe unaitwa baba na kuitika kabisa?Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,
House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.
Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.
Ushauri please
Hii kalii ya mwaka!Kumbuka ; HAKUNA HOUSE GIRL MGUMBA
Mchape nao akuheshimu, vinginevyo atakuletea bazazi ndani.Naombeni ushauri jamani nipo njia panda,
House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.
Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.
Ushauri please
ha ha ha ha mkuu unajua principal za kina mama? ma house girl siku zote wanaletwa ambao hawamzid landlord
Una experience enhee mkuuwengine ni wazuri,,anaeza kua mbya kwa sababu katoka bush,,ila akija town mara viotion na kusuka misosi miuri utashanga mkia huooo,,,,,,na ndo faza house navyoanza kula...na ingi vinakuaga tight huko chini basi full mautam