Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,128
Kwani ww umeolewa mkuu.Hapana sio mimi......angalia vizuri nilivokuambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ww umeolewa mkuu.Hapana sio mimi......angalia vizuri nilivokuambia
Hapana nitamshauri awe nae
Hapana
a friend au wewe?Mamboz,
I have a friend amepata boyfriend a month ago and the guy yupo romantic na anajua kucare yani hao kwao kutoka kila weekend sio shida, mkaka anajua kujali mpaka raha na ni handsome. Kingine huyo kaka yupo serious na rafiki yangu na kadri siku zinavyoenda ndo wanazidi kupendana na kujuana zaidi.
Tatizo linakuja msichana amemzidi umri huyo mkaka kwa mwaka mmoja na yeye anaona hawezi kuwa na mtu ambae ni mdogo kwake amesema ni bora aachane nae though anampenda.
Naomba kujua hivi anachotaka kukifanya huyu rafiki yangu ni sahihi or not?
Moyo wa mtu msitu my dear....huenda umri wala sio tatizo analotaka kumuacha naloKweli vile sidanganyi
Mamboz,
I have a friend amepata boyfriend a month ago and the guy yupo romantic na anajua kucare yani hao kwao kutoka kila weekend sio shida, mkaka anajua kujali mpaka raha na ni handsome. Kingine huyo kaka yupo serious na rafiki yangu na kadri siku zinavyoenda ndo wanazidi kupendana na kujuana zaidi.
Tatizo linakuja msichana amemzidi umri huyo mkaka kwa mwaka mmoja na yeye anaona hawezi kuwa na mtu ambae ni mdogo kwake amesema ni bora aachane nae though anampenda.
Naomba kujua hivi anachotaka kukifanya huyu rafiki yangu ni sahihi or not?
HahahaaKumtoa out kila Mara ndio kumpenda?wanawake wa kileo mna shida kweli kweli