Ushauri: Msichana amemzidi mwanaume umri mwaka mmoja

Mamboz!
I have a friend amepata boyfriend a month ago and the guy yupo romantic na anajua kucare.......yani hao kwao kutoka kila weekend sio shida,mkaka anajua kujali mpaka raha na ni handsome! Kingine huyo kaka yupo serious na rafiki yangu na kadri siku zinavoenda ndo wanazidi kupendana na kujuana zaidi

Tatizo linakuja msichana amemzidi umri huyo mkaka kwa mwaka mmoja na yeye anaona hawezi kuwa na mtu ambae ni mdogo kwake.......amesema ni bora aachane nae though anampenda

Naomba kujua hivi anachotaka kukifanya huyu rafiki yangu ni sahihi or not?
Huyo mkaka ni rika lake , labda huyo dada anataka kukamilisha ndoto yake ya kutoka au kuolewa na kibabu
Utofauti wa mwaka mmoja siyo tatzo , tena kwa sisi Waislam hiyo Suna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka mmoja sio issue sana, as long as you love him, hakuna tatizo. Ukweli ni kuwa mwanaume kuwa mkubwa kiumri ni vyema zaidi, lakini sio lazima.

Je, unampenda?
Yah anampenda
 
Mamboz!
I have a friend amepata boyfriend a month ago and the guy yupo romantic na anajua kucare.......yani hao kwao kutoka kila weekend sio shida,mkaka anajua kujali mpaka raha na ni handsome! Kingine huyo kaka yupo serious na rafiki yangu na kadri siku zinavoenda ndo wanazidi kupendana na kujuana zaidi

Tatizo linakuja msichana amemzidi umri huyo mkaka kwa mwaka mmoja na yeye anaona hawezi kuwa na mtu ambae ni mdogo kwake.......amesema ni bora aachane nae though anampenda

Naomba kujua hivi anachotaka kukifanya huyu rafiki yangu ni sahihi or not?
Mwaka mmpja mbona mdogo sana... .ki africa inaweza ikaonekana kama ni issue lkn kiukweli sio tatizo kama anampenda aishi nae tu ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom