Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Mamboz,
I have a friend amepata boyfriend a month ago and the guy yupo romantic na anajua kucare yani hao kwao kutoka kila weekend sio shida, mkaka anajua kujali mpaka raha na ni handsome. Kingine huyo kaka yupo serious na rafiki yangu na kadri siku zinavyoenda ndo wanazidi kupendana na kujuana zaidi.
Tatizo linakuja msichana amemzidi umri huyo mkaka kwa mwaka mmoja na yeye anaona hawezi kuwa na mtu ambae ni mdogo kwake amesema ni bora aachane nae though anampenda.
Naomba kujua hivi anachotaka kukifanya huyu rafiki yangu ni sahihi or not?