Ushauri: Msichana amemzidi mwanaume umri mwaka mmoja

Ushauri: Msichana amemzidi mwanaume umri mwaka mmoja

Kumtoa out kila Mara ndio kumpenda?wanawake wa kileo mna shida kweli kweli
Moja ya njia ya kula mbunye kiurahisi mkuu siku hizi. Ni mwanaume kujiweka kigentleman tu...
 
Rafiki yako nahisi kuna mchwa kwenye ubongo wake kitu ambacho kinamuathiri Sana kwenye kufikiri Kama vipi mwambie akurithishe hako kajamaa
 
Rafiki yako nahisi kuna mchwa kwenye ubongo wake kitu ambacho kinamuathiri Sana kwenye kufikiri Kama vipi mwambie akurithishe hako kajamaa
Hapana siwezi fanya hivo........nitajaribu kumshauri akikataa basi
 
Mwambie umri ni number tuuu ukishikwa shikamanaa mpende akupendae
 
Back
Top Bottom