Ushauri: Msichana amemzidi mwanaume umri mwaka mmoja

Ushauri: Msichana amemzidi mwanaume umri mwaka mmoja

YANI HAPO ANAOLEWA NA MDOGO WAKE? YANI ANAVULIWA NGUO NA MDOGO WAKE

KWA KWELI AKAPIMWE MKOJO..
 
Screenshot_2017-08-17-10-15-32.png
 
Huyo rafiki yako atakuwa na mambo yake mengine tuu sio bure kama jamaa yuko vizuri anamjali tatizo lipo wapi? Kama ni suala la umri mwaka mmoja mbona sio ishu? Au handsome ana KIBAMIA? Aangalie Rais wa Ufaransa na mkewe kisha ajitathmin upya......
 
Mamboz,

I have a friend amepata boyfriend a month ago and the guy yupo romantic na anajua kucare yani hao kwao kutoka kila weekend sio shida, mkaka anajua kujali mpaka raha na ni handsome. Kingine huyo kaka yupo serious na rafiki yangu na kadri siku zinavyoenda ndo wanazidi kupendana na kujuana zaidi.

Tatizo linakuja msichana amemzidi umri huyo mkaka kwa mwaka mmoja na yeye anaona hawezi kuwa na mtu ambae ni mdogo kwake amesema ni bora aachane nae though anampenda.

Naomba kujua hivi anachotaka kukifanya huyu rafiki yangu ni sahihi or not?
a friend au wewe?
 
Age is nothing but a number
 
Huu ndo umbea we vnakuhusu nn... Yani watz baana n hatar yan umeona huna kaz ukaona uomne ushaur kwa kitu cha mwngne kinakuhusu subr ifke zamu yako ndo uombee ushaur!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wasiwasi wake tu, nna mpenzi ananizidi miaka 10, baada ya muda namuoa
 
Kama yeye anaona sii sawa basi afuate vile moyo unavyomtuma...

Kwa mwaka mmoja tuu, sioni tatizo kabisa...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom