Ushauri: Mpenzi wangu amenisaliti

Ushauri: Mpenzi wangu amenisaliti

mi nashindwa kuelewa unakuta msg ya mwanaume ya kimapenzi bado unaomba ushauri?????upi hasa???????MUACHE MARA MOJA
 
Naomba ushauri dem wangu
nimezifuma msg kibao za bwana wa nje nilipomuuliza akakana badae alikili
kuchepuka! mara kusachi kwenye vibegi vyake nakuto condom zaina tofauti
sasa mm imenichanganya naomba ushauri wenu nimteme au japo amekili kosa
na anaomba kusamehewa!!!

msamehe bana si kosa la kwanza? akirudia tema
 
Naomba ushauri dem wangu
nimezifuma msg kibao za bwana wa nje nilipomuuliza akakana badae alikili
kuchepuka! mara kusachi kwenye vibegi vyake nakuto condom zaina tofauti
sasa mm imenichanganya naomba ushauri wenu nimteme au japo amekili kosa
na anaomba kusamehewa!!!

afu rekebisha kiswahili? utasemaje bwana wa nje wakati wew hujamuoa? na wew ni wa nje. ungesema bwana mwingine
 
Piga chini wanawake wapo kibao huyo siyo riziki!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
unataka ushauri wa kupuliza kondom ka maputo?? kama mm hapo sinyati ni nduk naacha vumbi tu....
 
Kachonge wa pekee yako. Ushukuru amekumbuka na ndom.
 
Naomba ushauri dem wangu nimezifuma msg kibao za bwana wa nje nilipomuuliza akakana badae alikili kuchepuka! mara kusachi kwenye vibegi vyake nakuto condom zaina tofauti sasa mm imenichanganya naomba ushauri wenu nimteme au japo amekili kosa na anaomba kusamehewa!!!

wewe usimuache endelea nae tu.Kwani kinachokuuma zaidi nini.Kufanya kafanywa yy ww shida yako nn.Kwani mlipotongozana mlitushirikisha?Ww unamaamuzi kichwani mwako wala usitudanganye hapa.Hata mtu akushauri vp kwenye hayo maswala ila mwisho wa iky maamuzi utayatoa ww.kama kweli ulihitaji ushauri fuata huo nilokupa.
 
Kama wewe hugongi nje mteme...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom