Ushauri: Mpaka Tuoane Ndio Natoa skin-taiti....

Ushauri: Mpaka Tuoane Ndio Natoa skin-taiti....

Aika ruaaaa,
Aikambeeee,
Nnajua wanapenda nini?
Mwanamke umsikilize,
uwe romantic very gentle.
make sure unapigana na wale wanaopigana nae!
mpatie zawadi kila mkionana hata pipi tu,
Mjali sana kwa maneno thabiti ya kumsifia kwamba ye mzuri kuliko wote duniani.
There where u can win her heart

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha haha
lakini sio ma-halfast wa kichaga
 
Hahaha haha
lakini sio ma-halfast wa kichaga
Hapana labda nyie wachaga mpo dar,
Mi nipo naishi pande hizi.
Labda mna exxagerate lakini hakuna watu very understood km wachaga.
Ukiwa straight forward unaishi nao vizuri sana sababu elimu huku iko juu huwezi kufananisha na mikindani.
Huku kila mtu ni mzungu mweusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana labda nyie wachaga mpo dar,
Mi nipo naishi pande hizi.
Labda mna exxagerate lakini hakuna watu very understood km wachaga.
Ukiwa straight forward unaishi nao vizuri sana sababu elimu huku iko juu huwezi kufananisha na mikindani.
Huku kila mtu ni mzungu mweusi

Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheheh asante kurusifia thank you very much
 
Back
Top Bottom