Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
ACHA UMBEA WEWE, KAFANYE KAZI HUKO
๐ฅด ๐ฅด ๐ฅด ๐ฅด ๐คฎ
๐ฅด ๐ฅด ๐ฅด ๐ฅด ๐คฎ
Sawa binti wa kigogo.Kuna shemeji huku kanikumbusha kitu amazing sana
Jaman naomba niwashauri kwa kifupi, wazee wa kudanga msije Dom mtaumia
Warembo wa huku wote ni akina Taiti nikisema hivi najua utakuwa ushanielewa
Ndio wameTaiti je, we kama ulifungua miguu wenzio wametaiti
Habari ya mjini Dom ni skin-taiti. ... sasa njoo na mikelele yako toka Dar shilawadu tunakuangalia tu... vepe!
Mabeibz ya Dom imejitunza balaa ukiingia kingi huchomoki unatangaza ndoa ... endelea kusema naniliihii zinatengeneza mjini sio kwetu Dom
Huku tunafanya Sherehe ash mchana usiku... shemeji kaikuta asbh kesho anawowa
Ni hayo tu bakini Dar, Dom Kuna wenyewe
Ps:
Usiempenda kafika!
Hahahaha me kwetu Moshi kiruSawa binti wa kigogo.
Kwahiyo we mpitajiMhh sawa watakuja wanaotafuta wake watulivu wa kuoa
Sijafunga Mume hataki anatii amri ya Mungu ~ Zaeni Mkaongezeke sio Fungeni Msiongezeke
Unaongea na mie au
Ivo eeeHamna lolote,hakuna mkate mgumu mbele ya chai abadan.
Na kulivyo kukame huko bila shaka mtakuwa mnaachia mpaka inakataa kurudi teh.
Kumbe najifariji,kwa lipi mkuu.?Ivo eee
kujifariji kwingine bwana
I wish ungekuwa unaishi kwenye uhalisia sio kufikirika
Skuhizi nanataaa siongei sanaKumbe najifariji,kwa lipi mkuu.?
Kwa hali hii ya watu kuishi kama mashetani kuna kubana kweli hasa pale unapoona kuna grisi ya kulainisha vyuma?
AiseeSkuhizi nanataaa siongei sana
Ukweli waujua mwenyewe
Nishaoa mke mwema tayari.Kwahiyo we mpitaji