Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #41
Kajaze na mkeo mimi mke wa mtuNataka tuijaze dunia
Kajaze na mkeo mimi mke wa mtuNataka tuijaze dunia
Mwenyeweewmtoa mada acha mikwara kwanza we harage la mbeya
KawoweHa ha ha ha haaaa...... Kuku wa Dodoma...
It's a fact not a threatSasa hicho kijiji chenu cha msimu unamtishia nani?
Labda wa miaka ya 90hamna kitu hapo, Dom papuchi ni cheap sana, wagogo walivozoea kuomba huwa wanaomba wenyewe samutaimu
Kuwa mke wa mtu ndo nini?Kajaze na mkeo mimi mke wa mtu
sifa kwa mwanamke!Kuwa mke wa mtu ndo nini?
Unaona nayo ni sifa?
KAMPENI YA 2018 BEIJIN - IF YOU LIKE IT PUT A RING ON IT
Aaah wapiKAMPENI YA 2018 BEIJIN - IF YOU LIKE IT PUT A RING ON IT
Hahahaha
Mimi nshakulaga msoto wakunyimwa hiyo kitu mwisho wa siku nilionekana boya demu akagongwa na wengine na uchumba ulikufa hapo hapoHahahaha
Jamaaan pole sanaMimi nshakulaga msoto wakunyimwa hiyo kitu mwisho wa siku nilionekana boya demu akagongwa na wengine na uchumba ulikufa hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaLifestyle yetu wabongo hatupendi kuoa yaani manzi uanze kutaman ndoa mwanzoni tu!huwa tunapita hivi.
Kutafuta kitemeo kingine.
Eti ndoa ndoa bongo.
Kama kweli unataka kuolewa fanya vile mwanaume anataka uone km ajataka mwenyewe kukuoa!
Mimi adden nikiwa na akili timamu pasipo kushinikizwa na mtu nimeamua kumuoa penny.mungu nisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah kubabek yani nikikumbuka nilikuwa bonge la ndorooobo nilipigwa doro kijinga sanaJamaaan pole sana
Aika ruaaaa,Hahaha haha
Tukifuata mnachotaka tutaishi miaka 70 bila ndoa
Kiru ode mbe odee
Hahahaha
Aika ruaaaa,Hahahaha
sio wote