Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,913
- 70,668
PoaNa mimi nikutumie via Paypal... your email please
PoaNa mimi nikutumie via Paypal... your email please
hahaaaaagesti juu yangu, nauli juu yangu, msosi juu yangu, raha ni zako, ma.ni.i nikupe, pole nikupe, posho nikupe, alla! na sabuni pia!!, ukipata sabuni baadae utataka 'roho' kabisa
hahaaaa juke box .insert coin to play. ..dadeqThread kama hizi ndo zinaua nguvu za kiume na kushusha hadhi ya mwanamke.
How?
Wanaume wanaoanza maisha wakijumlisha hizi gharama wanaona tu the soap and hand principle iwe applied.
Wanawake wanaonekana ni chombo tu cha kutumika kwa starehe ya mwanamme. Kwa staili hii mabinti mtatumika sana hasa mnapokubali kudanganyana.
Yaani design flani kama juke box. Insert a coin to play. BULLSHIT.
hahaaaaKwani kabla ya kukutana na mwanaume ulipata vipi mahitaji? Kupata mtu wa kukufanya matusi ndio iwe fursa ya kujikwamua kiuchumi.
Hadi vocha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]gesti juu yangu, nauli juu yangu, msosi juu yangu, raha ni zako, ma.ni.i nikupe, pole nikupe, posho nikupe, alla! na sabuni pia!!, ukipata sabuni baadae utataka 'roho' kabisa
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Kwanini asiondoke na ile sabuni ya gesti?
Jamani mtaniua mimi nipo buzy natengeneza tamthilia sasa mnanifuata inbox!
Sasamekuja niwaonye wanaume wote hwa humu na wengine wote kuwa mnapokutana kimwili na dada zetu mkimaliza muwaachie hela ya;
1. Nauli ya kuondokea kurudi ma kwao
2. Sabuni ya kuogea
3. Nauli ya kuja tena kupigwa mechi
4. Hela za vocha
5. Nauli ya dharura kama bodaboda ili kuwahi eneo la tubio
6. Hela za mavazi yaani nguo za ndani mana mnawachanaga chupi wakati wa purukushani za ku-do!
Jamani kaka zetu popote mnaposoma huu uzi chonde chonde muwaangalie vizuri dadas wa wary
Wengine hata maji ya kuoga hawatoi wanawafukuza tu watoto wa watu hata perfumes ya kujipaka upwiru usinukie njiani hawana
Muwe na ubinaadamu wanaume hata kama maisha yamebana kwani lazima umchukue mtoto wa watu so ujipunyete kuepusha gharama kwani hamjui kuwa watoto wa kike ni gharama?!
Wanaume Mungu Anawaoooonaaa
Toeni Helaaaaa...
Money Penny ana vituko sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hakuna watafunaji ninHayupo mkuu
Haina namna!Ache tuwale tuu, kama wamechagua kuwa tax collector so what???
Huu ndo ukweli halisiKwa mwanaume anaejielewa wala hawaga shida kwenye kutoa, na mtu anaekupenda hawezi kusubiri hadi siku ya kukuvua nguo ndio akupe hela.