Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga

Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga

Na ajabu ukiwa mtu wa kutaka vingi ndio unakosa kabisa
Wasijumuishe wote wapo wanaume kweli humu,

Mtu anaguswa na comment tu haombi no wala anakwambia nitumie no ya wakala tu

Huyo mtoa mada mwenyewe nilimzawadia kazawadi kadogo tu kuna mada yake ilinikuna sasa sijui tuliduduana ama???

Monne penny njoo hapa
 
Asifiae Mvua......!
Anyways hivyo ni vitu vidogo kwenye mahusiano any real gentleman can do!
 
mlishaona mwanaume tu ndo anafaidika na tendo! akili zitawakaa lini..? hlf mnadai haki sawa! mtasema na kuwaogeshe tuwaogeshe shabash!
 
Wasijumuishe wote wapo wanaume kweli humu,

Mtu anaguswa na comment tu haombi no wala anakwambia nitumie no ya wakala tu

Huyo mtoa mada mwenyewe nilimzawadia kazawadi kadogo tu kuna mada yake ilinikuna sasa sijui tuliduduana ama???

Monne penny njoo hapa
ndio maana nakukubaligi mkuu,black mzungu
 
Back
Top Bottom