Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga

Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga

hawa ndo wale wachaga walimu wanawekewa madawa ya kulevya kwenye vyakula au vinywaji alafu wanaliwa na kuibiwa pesa,simu na pesa za kwenye account za bank wakati wametoka nyumbani kamwambia mume wake sina hata shiling kumbe ana mamilion bank kazi kumsumbua mume wake ambaye hana kasimamishwa kazi atoe pesa ya matumizi wakati hana salary, nanyoko kabisa
Pole sana
Pambana na hali yako tu
 
Itabidi tu mseme kama mnauza maana sasa imekuwa kero,

Mseme tu kama mnauza tununue na mkipata mimba ni zenu maana tumesha lipia huduma , sio tena kufatana fatana pesa ya mtoto shule nk
 
Mnataka nauli,sabuni,nguo ya ndani na show za kibabe ila bado hamridhikagi ukitoka hapo unavipeleka kwa kijamaa chako cha mtaani
 
Hakuna chakujibashia wala nini, sema wanawake wachache ndio wanaharibu sifa za wanawake wengi ambao ni wastaraabu sana tu ,

Huko nakuja usijali ,ila uwe mwenyeweji wangu basi maana nisije kuja na negative zangu watu wakaanza kufua
POA POA KARIBU

WENYE NEGATIVE WAMEPEWA BAN usijali
 
gesti juu yangu, nauli juu yangu, msosi juu yangu, raha ni zako, ma.ni.i nikupe, pole nikupe, posho nikupe, alla! na sabuni pia!!, ukipata sabuni baadae utataka 'roho' kabisa
Bado umpeleke kileleni......wanawake bwana too much demanding
 
Mi ubahili Sina, tunapiga game tunaenda halftime tukirudi tunamaliza game, namkabidhi njia kwa bashasha nyingi, sasa ona akifika kwake simu nyiiingi mara kesho nakuja mara ooh njoo kwetu, Mie nagawa nauli ka biko.
 
Thread kama hizi ndo zinaua nguvu za kiume na kushusha hadhi ya mwanamke.

How?

Wanaume wanaoanza maisha wakijumlisha hizi gharama wanaona tu the soap and hand principle iwe applied.

Wanawake wanaonekana ni chombo tu cha kutumika kwa starehe ya mwanamme. Kwa staili hii mabinti mtatumika sana hasa mnapokubali kudanganyana.

Yaani design flani kama juke box. Insert a coin to play. BULLSHIT.
Afu wamasema 50 /50 ....idiot
 
Back
Top Bottom