Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga

Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga

[TAG]Kapeace, Maserati, Kaurucee na MBITIYA[/TAG] nisipo wapa tano nitakuwa sijawatendea haki. [TAG]Money Penny[/TAG] hebu jaribu kuwaomba hawa great thinkers wakusaidie ku edit hiyo thamthilia yako, inaweza kuwa na mashiko zaidi.
Hawezi kuelewa huyu sasa ye na wenzie wanalilia vocha na nauli ya bodaboda
 
Thread kama hizi ndo zinaua nguvu za kiume na kushusha hadhi ya mwanamke.

How?

Wanaume wanaoanza maisha wakijumlisha hizi gharama wanaona tu the soap and hand principle iwe applied.

Wanawake wanaonekana ni chombo tu cha kutumika kwa starehe ya mwanamme. Kwa staili hii mabinti mtatumika sana hasa mnapokubali kudanganyana.

Yaani design flani kama juke box. Insert a coin to play. BULLSHIT.
Ache tuwale tuu, kama wamechagua kuwa tax collector so what???
 
Back
Top Bottom