Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga

Ushauri: Mnapotula mkumbuke kutupa sabuni ya kuoga

Despite wa kuwapa faraja,wengine wana family in and out of jf,wengine wana wachumba pia. So ku under estimate watu,mmmmh. Siwezi.

Maana kuna watu washanisaidia name hawajanipiga dudu. Siwezi mdharau mtu etu kisa no way jf
Asante sana maserati
 
gesti juu yangu, nauli juu yangu, msosi juu yangu, raha ni zako, ma.ni.i nikupe, pole nikupe, posho nikupe, alla! na sabuni pia!!, ukipata sabuni baadae utataka 'roho' kabisa
Mwanamke hajawahi kuridhika hata siku moja. Kama MUNGU alo tuumba anaonekana hakuweza je, mwanamme ataweza?

Mwanamke anafanya yafuatayo baada ya MUNGU kumuumba vzr:
1. Kujichubua na kubadilisha rangi yake halisi...
2. Kuongeza kucha za bandia...
3. Waweza ongezea
 
Jamani mtaniua mimi nipo buzy natengeneza tamthilia sasa mnanifuata inbox!

Sasamekuja niwaonye wanaume wote hwa humu na wengine wote kuwa mnapokutana kimwili na dada zetu mkimaliza muwaachie hela ya;
1. Nauli ya kuondokea kurudi ma kwao
2. Sabuni ya kuogea
3. Nauli ya kuja tena kupigwa mechi
4. Hela za vocha
5. Nauli ya dharura kama bodaboda ili kuwahi eneo la tubio
6. Hela za mavazi yaani nguo za ndani mana mnawachanaga chupi wakati wa purukushani za ku-do!

Jamani kaka zetu popote mnaposoma huu uzi chonde chonde muwaangalie vizuri dadas wa wary

Wengine hata maji ya kuoga hawatoi wanawafukuza tu watoto wa watu hata perfumes ya kujipaka upwiru usinukie njiani hawana

Muwe na ubinaadamu wanaume hata kama maisha yamebana kwani lazima umchukue mtoto wa watu so ujipunyete kuepusha gharama kwani hamjui kuwa watoto wa kike ni gharama?!

Wanaume Mungu Anawaoooonaaa
Toeni Helaaaaa...

Baadhi ya mada zingine ni za kupuuzwa kabisa kwa sababu zinashusha hadhi ya mwanamke.

Vyote ulivyovitaja hapo juu ni vitu vidogo sana ukilinganisha na thamani ya penzi unalopewa.

Mwanamke atakayeshangilia huu Uzi na kuona umeandika points kwake. Sitamdharau bali pia sitamuona Wa maana sana.

Vyote ulivyovitaja hakuna mwanaume ambaye hawezi kuvitoa Mkuu tena siyo mpaka aambiwe.
 
Upwiru ndo kitu gan mi sielewi aliyeelewa anisaidie [emoji15]
 
Technic yako imebuma sijawahi pewa hicho kiasi mkuu
Kama hukuwahi pewa enzi hizo... hakika wakati huu ambao lubricants zimekuwa adimu, yaweza kuwa ngumu zaidi kuhongwa kiasi kama hicho!!
 
Baadhi ya mada zingine ni za kupuuzwa kabisa kwa sababu zinashusha hadhi ya mwanamke.

Vyote ulivyovitaja hapo juu ni vitu vidogo sana ukilinganisha na thamani ya penzi unalopewa.

Mwanamke atakayeshangilia huu Uzi na kuona umeandika points kwake. Sitamdharau bali pia sitamuona Wa maana sana.

Vyote ulivyovitaja hakuna mwanaume ambaye hawezi kuvitoa Mkuu tena siyo mpaka aambiwe.
Sijui wanakutana na wanafunzi labda ambao Bado wapo kwa baba na mama
 
Back
Top Bottom