Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

Mar 26, 2018
11
4
Mpenzi ninampenda nimuonapo tu ananisisimua sana kabla sijamuoa alikua ananiambia nimuoe kwanza ili anipe mambo nitakayo.

Sasa nimemuoa ndio imekua shida kupata mambo hataukiwa na hamu hakupi labda utumie nguvu. Haijawai kutokea kunipa kirahisi mpaka nimezira.

Naomba ushauri wenu tatizo nini au ana mtu anaye mchosha?
 
kama imani yako inasema mwisho wanne ongeza mwingine ila kama imani inasema ni mmoja tu piga chini huyo, atakusababishia ndoa za mitala muda si mrefu.
 
Kumbe mpenzi ...sasa mzee kama mpenzi Fanya ...umuoe basi sio ...wabandua buree kijana embu mpe heshima yake mfanye awe mke wako......alafu uone kama atakubania
 
Kumbe mpenzi ...sasa mzee kama mpenzi Fanya ...umuoe basi sio ...wabandua buree kijana embu mpe heshima yake mfanye awe mke wako......alafu uone kama atakubania
Hapana baada ya shida hz nilimuoa lakini hali bado kama ilivyo mwanzo na alihaidi nikimwoa mambo yatakua powa
 
https://www.jamiiforums.com/index.php?forums/Love Connect.104/
Mpenzi nnampenda nimuonapo tu ananisisimua sana kabla sijamuoa alikua ananiambia ni muoe kwanza ili anipe mambo nitakavyo sasa nimemuoa ndio imekua shida kupata mambo hataukiwa na hamu hakupi labda utumie nguvu haijawai tokea kunipa kiraisi mpaka nimezila naomba ushauli wenu tatizo nini au an mtu.anae mchosha

Wote wapo hivyo, Mwanaume ni tofauti na akili ya mwanaume, haanzi kuwaza ngono bila kufanywa kuwaza..... Soma vitabu uelewe wanawake, ndivyo walivyo (Ukiacha case ya kuumwa, kuwa na mahusiano na mtu mwingine), kuna factors nyingine pia.... Wao sio magogo ya kuliwa tu
 
Sikushauri uchepuke. Ila mweke chini uongee nae akuweke wazi ana shida gani. Kama anaonekana haelekei. Kifuatacho ni kumwambia kuwa talaka, na uwe seriuos kwenye hili usimchekee wala nn.
Mwambie kabisa huwez kukaa na mke ambae hana tofauti na sanam la michellin.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom