Ushauri: Mke wangu hataki kunipa penzi

Mpenzi ninampenda nimuonapo tu ananisisimua sana kabla sijamuoa alikua ananiambia nimuoe kwanza ili anipe mambo nitakayo.

Sasa nimemuoa ndio imekua shida kupata mambo hataukiwa na hamu hakupi labda utumie nguvu. Haijawai kutokea kunipa kirahisi mpaka nimezira.

Naomba ushauri wenu tatizo nini au ana mtu anaye mchosha?
Kwa taarifa yako umeoa mke wa mtu mke hawi hivyo.Lakini nakulaumu mwanaume hawi hivyo ulivyo toa maamzi magumu na mitihani mizito kwake hadi anyooke.Wanawake kibao hv warembo unakaa kuteswa na pimbi mmoja.
Oa mwingine haraka sana au uko kijijini kusiko na wanawake wengi.
 
Ni hivi kabla sijamuoa nilimpata kwa shida sana na nilivyompata nakulizika nae akahanza visa sikupi mambo utanizehesha wskati huo alikua na mchumba wake akaniambia namwacha mchumba wangu kama utanihakikishia unafunha ndoa na mimi mana mchumba wake alikua anamzungusha kumuoa mimi nikakubali nikafunga nae ndoa kislam nacho lalamika apendi kabisa kufanya na mimi yaani kwa mbinde mpaka anapoteza radha ya tendo lenyewe sielewi kwa nini amekua hivi rimance hataki pia
hahaaaa...ulilazimisha ndoa! in short ww ndo ulimpenda bali yy alikuwa naye ampendaye, pole sana!
 
Ni hivi kabla sijamuoa nilimpata kwa shida sana na nilivyompata nakulizika nae akahanza visa sikupi mambo utanizehesha wskati huo alikua na mchumba wake akaniambia namwacha mchumba wangu kama utanihakikishia unafunha ndoa na mimi mana mchumba wake alikua anamzungusha kumuoa mimi nikakubali nikafunga nae ndoa kislam nacho lalamika apendi kabisa kufanya na mimi yaani kwa mbinde mpaka anapoteza radha ya tendo lenyewe sielewi kwa nini amekua hivi rimance hataki pia
kwa maelezo haya unaonekana wazi ulivyo dhaifu
 
Aisee ni aibu kubwa kwa mwanaume kulalamikia kunyimwa papuchi enzi hizi. Udomo zege huu noma sana. Unakalili papuchi moja kweli? Mwanaume ulie kamilika. Usabato ukizidi utakuwa mtumwa.
 
Sababu zinazoweza kusababisha mke akamnyima mume haki yake 1.hakupendi,mwanamke asipokupenda hata umuandae vipi hawezi kuwa na hisia juu yako. 2. Humuandai vzr kabla ya tendo hii hupelekea maumivu na kuondoa hamu ya mapenzi na wewe 3.humridhishi kunako 6/6 haoni sababu ya kufanya mapenzi na wewe sababu humridhishi(humkojozi) asikudanganye mtu bwana mwanaume ukimridhisha/ kumkojoza mkeo huwezi kunyimwa tendo ndo kwanza mkeo akikuona tu analoa!!!!
 
Akujalishi kupata ahibu nnachofanya in pamoja kupata ushauli wenu was day ili niweze to a uamuzi wa kidemokrasia ila ulichosema nikweli ila tu siamini nitanyiwayo ni kweli au ndoto
 
Yaaani jamani mnatutia aibu sana mwanamke siyo wa kuomba hovyo hovyo yumo ndani

Mfanye awe rafiki yako utani wa hapa na pale mpaka atakupa mwenyewe

Unaweza ukaenda kazini kabla ya kurudi home ukiwa umechafuka balaa unamletea chips mayai mshikaki na hela Mara mbili ya matumuzi ya kawaida harafu unafunga plasta ya uongo kidole cha mkono mmoja kwa hiyo huwezi kuoga lzm uogeshwe akikugusa tu mtaimbo umesoma zote


Huna haja yakumwambia nipe atatoa mwenyewe
 
Kama unampenda, anza kuwa unam-baka tu ili utimize haja zako za mwili.
Lakini kama haumpendi, piga chini na tafuta mwingine asie bania papuchi.
Alafu...... Mwanaume huwa haziri, labda kama nawe niwa Dar
Unamtakia matatizo mwezio, hujui kama kubaka adhabu yake ni miaka 30 jela?
Akamshitaki kwa mshenga/wasimamizi wa ndo/ mchungaji au Padre

Huu uzi umenikumbusha mkasa flani hivi...
 
Back
Top Bottom