Ushauri: Mke wangu amekuwa haniheshimu

je unamtegemea chochote hasa kwenye mapato ya familia??

hapo unapokaa ni kwake au kwako??

amekuzidi kipato??

maana mwanamke wa kiafrica akikuzidi kipato ni shidaaaa...
Simtegemei chochote kile yaani mm ndo kila kitu kwake japo kwao wanapesa frsh tu
 
Nafikiri hivyo ila mtoto ndo anafanya niwaze sana
Kama ni issue ya mtoto unaweza ukampeleka kwa mama yako mzazi, na akikua kama mfuko unaruhusu mpeleke boarding school abaki kuja kusalimia likizo tuu. Tafuta furaha ya moyo wako ndugu maisha yenyewe yakowapi kuanza kupeana stress daily
 
We mwache akudharau lakini kitandani hakikisha unamsukumia mpini mpaka akome. KITANDAN UWE UNAMTANUA MPAKA IWAKE MOTO
 
Wanaume wengine mnatutia aibu haswa, yaani ishu hii hata Spongebob angelitoa uamuzi mwenyewe.

Ndukiiiii
 
Kwanza poleni na majukumu,

Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.

Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.

Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
Unajua mm pia hali hiyo imenitokea, nikampiga mkwala mzito sana. Nikamwambia ntakurudisha kwenu asubuh tu,
sasa nikajaribu kureserch ni nini shida, nikagundua asilimia 100 ni mimba. so mkuu kuwa kama mimi ielewe hiyo hali yake, mpende na zidi kumuheshimu. akijifungua atakaa sawa
 
Mkuu ujauzito umechangia ungezeko lakini mkeo anatabia mbovu ,,maana unadai Ni miaka 2 tokea anze kuwa jipu,,sasa huyu mmpe likizo ya miezi3 !! Hawezi kucheat maana Ni mjanzito,,sasa stress za mimba Na kuachwa atanyooka Kama rula ,,akishusha mrudishe muyajenge,,alaf acha ujinga wa kuwaza kufa japo huyo mwanamke kiboko mpaka unataman kufa ,,teh teh
 
Kama ni issue ya mtoto unaweza ukampeleka kwa mama yako mzazi, na akikua kama mfuko unaruhusu mpeleke boarding school abaki kuja kusalimia likizo tuu. Tafuta furaha ya moyo wako ndugu maisha yenyewe yakowapi kuanza kupeana stress daily
Daah nimekusoma mkuu
 
Unajua mm pia hali hiyo imenitokea, nikampiga mkwala mzito sana. Nikamwambia ntakurudisha kwenu asubuh tu,
sasa nikajaribu kureserch ni nini shida, nikagundua asilimia 100 ni mimba. so mkuu kuwa kama mimi ielewe hiyo hali yake, mpende na zidi kumuheshimu. akijifungua atakaa sawa
Kaka hiyo hali si baada ya mimba yaani sasa hivyo miaka 2 naishi hali hiyo na mimba ina miezi 7 saiv
 
Mkuu ujauzito umechangia ungezeko lakini mkeo anatabia mbovu ,,maana unadai Ni miaka 2 tokea anze kuwa jipu,,sasa huyu mmpe likizo ya miezi3 !! Hawezi kucheat maana Ni mjanzito,,sasa stress za mimba Na kuachwa atanyooka Kama rula ,,akishusha mrudishe muyajenge,,alaf acha ujinga wa kuwaza kufa japo huyo mwanamke kiboko mpaka unataman kufa ,,teh teh
Hahaha mkuu umenifanya nicheke wacha akae benchi kama miezi 3 kweli
 
Kwanza poleni na majukumu,

Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.

Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.

Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
Dawa ya mwanamke ni mwanamke,nakuomba muongezee mke mwingine ajue sio muhimu sana!
 
Kwanza poleni na majukumu,

Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.

Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.

Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
UKIONA SAMAKI KALA CHAMBO, BASI UJUE MVUVI KASHAANZA UFALA
 
Pole mkuu!!

Mkuu ana kuzidi kipato?
Au maisha yameyumba kidogo na unapitia wakati mgumu au?

Nadhani ongea na ndg zake uone kama ndio wanamtuma.
 
Hayajakufika ndo maana
Mkuu usinifahamu vibaya lakini mwanamke/mke akifika kukutukana, ujuwe huyu kachoka na wewe. Kuna matatu:-
1 Kishakuchoka(sio ndoa alioitegemea)
2 Amekuona upo dhaifu kwake(unamtegemea)
3 Kapata mchepuko nje anamzuzua kwa sasa(ndio sababu ya matusi yote hayo).
Cha muhimu kuwa mwanaume fanya unaloona kwako sawa hio ndoa yako. Wewe ndie unaeona zuri na baya kwa mkeo. Kila la kheri
 
Pole sana mkuu ndoa ni changamoto sana jitahidi kuyamaliza mkae kwa amani.
 
Back
Top Bottom