Ushauri: Mke wangu amekuwa haniheshimu

Ushauri: Mke wangu amekuwa haniheshimu

Ukifa hasara kwako

Zungumza nae, ikishindikana Muitie watu wazima.... asiposikia jiandae hama muachie nyumba katafite ustaarabu wako

Ila hakikisha watoto wanapata matunzo na wanaspend time na wewe baba yao
 
Back
Top Bottom