inawezekana wewe ni jipu labda...Kwanza poleni na majukumu
Wadau karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nomwoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito.
Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kwanzia hapo mambo yakabadirika kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojiskia bila kujali mm ni nani kwake amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu.yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yoyote yule
Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto
Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata yakufikiria kufa maana anaboa kinoma.
Mkuu michepuke ikishajua unamke basi lazima ikuzime kabsa atamsahau mkeoUsimuache tafuta mchepuko halafu jitahidi aujue halafu punguza show kwake
Kaka unaweza fikiria hivyo lakini hata ww mwanamke kama huyo huwezi hata kuwa na hisia nae tenaMatatizo yote yanaanzia ndani... Samahani ndugu yangu lakini inaonyesha uko dhaifu kitandani... Tafuta ushauri wa sexology waliopo karibu.
KUMBUKA :USIPOMPIGISHA KELELE MWANAMKE KITANDANI ATAKUJA KUPIGA KELELE BARAZANI.
Yeye matusi yote anakutukana kwa sms yaani unawwza zima simuKuna watu hamjui kumwacha mtu au akili zenu zinakuwaga mbovu....huwezi kunitukana mm na wazazi wangu halaf niombe ushauri
Utarudi kwenu ukiwa na meno pungufu ili uwe na adabu.
Pumbavu.
Kuna watu hamjui kumwacha mtu au akili zenu zinakuwaga mbovu....huwezi kunitukana mm na wazazi wangu halaf niombe ushauri
Utarudi kwenu ukiwa na meno pungufu ili uwe na adabu.
Pumbavu.
Eti ukiwa na meno pungufuUnamfuata hukohuk alipo tena msg ndio ushahidi mzuri hata akienda polisi baada ya kipigoYeye matusi yote anakutukana kwa sms yaani unawwza zima simu
Kwani umezaliwa nae tumbo moja mkuu??Kwanza poleni na majukumu,
Wadau, karibu miaka 3 sasa naishi na mke wangu toka nimuoe mpaka tumebahatika kupata mtoto moja na mpaka sasa ni mjamzito. Kwa mwaka mmoja baada ya ndoa tumeishi vizuri sana kuanzia hapo mambo yakabadilika.
Kwa mke wangu amekuwa ni mtu ambae anaweza ongea chochote anachojisikia bila kujali mimi ni nani kwake, amekuwa akishirikisha sana familia yangu kwa kutukana wazazi wangu ndugu zangu, yaani kifupi hana heshima hata kidogo kwa mtu yeyote yule. Natamani nimwache hata leo ila nahofia watoto.
Basi napagawa maana nimekuwa mtu wa kuwaza muda wote kufikia hatua hata ya kufikiria kufa maana anaboa kinoma.
soryy unamwanamke mpumbavu mwee.. muignore ndiyo dawa mkuu miezi tu atakuwa na adabuMkuu naishi mbali na family yangu lakini tatizo kidogo lazima ahusishe family yangu mpaka mama yangu mzazi kasusa kuja kwangu kwa tabia yake
Nilifikiri nimweke benchi kwa muda kama 3 vile afu kama bado naowa mwinginesoryy unamwanamke mpumbavu mwee.. muignore ndiyo dawa mkuu miezi tu atakuwa na adabu
muweke benchi kisaikolojia mpuuze tuNilifikiri nimweke benchi kwa muda kama 3 vile afu kama bado naowa mwingine
Kwemaa!? Sijakutia machonmkuu kufikiria kufa ni ujinga wa kiwango cha lami... kwanza jichunguze kwa nini kaanza hayo ? je wewe ni sababu?
kutokuheshimu ndugu zako jitahidi kama inawezekana akae nao mbali ili kuondoa maneno na malumbano yasiyo ya msingi..
sasanakupa fundisho kuanzia leo muignore atukane aongee shombo we kaa zako kimya,,.. wakija ndugu kukushtaki jikalie kimya ikikulazimu kuongea sanaa wambie jitafakari baada ya mwezi ukiona ndiyo anazidi achana na huyo mwanamke game over
nipo mkuu .. pouwa za kwakoKwemaa!? Sijakutia machon
, Je unampeleka mpaka anapotaka au ndo safari huwa inaishia njiani kila siku? Hili nalo huwa ni chanzo cha dharau, kama lipo angalia jinsi ya kulitatua!