USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda

Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Mkuu muosha huoshwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...
Mkubalie maana hata wewe una mlango wa dharula ambao mmewe anaweza pia kupoza machungu
 
Atakusumbua sana mara nyingi ukitoka nae once basi anapumguza kukusumbia..hapo kuna kitu tu kinamuwasha na wewe ndio wa kukituliza....experience hii....yani toka nae tu japo ni risk ila afyer that mtapotezeana.. Ila acha kutuma text kwake piga tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
**Update**

Baada ya siku kadhaa za kuongea na kuchat na simu, akanilazimisha niende kwake pande za tabata kinyerezi. Bila hiyana nikapanda daladala kutokea kimara mpaka tabata.

Baada ya foleni kadhaa na kupurukashani kiasi na makonda nikafika kwake akanikaribisha vizuri. Alikua peke yake hapo alipopanga. Tukakaaa tukapiga stori mbili tatu akaanza kunishika shika huku mimi akili yangu ikiwa bize sana inawaza na kuwazua nikitafakari nifanye nini na je mume wake akitukuta itakuaje. Ila nilijikaza kiume asije akaona ni type wa kina delicious nilisogeza karibu nikamshika makalio nikamnyanyua nikamkalisha juu yangu huku nikimshika shika kifua.

Bahati nzur nikifanikiwa kulishinda jaribu lile na kuondok a bila kumgegeda ila alisononeka sana.

Leo kaniita tena anataka niende. Je mnanishuri vipi wanaMMU najua humu ni wengi mmeshakumbana na changamoto kama hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna vitu si vya kuremba sana...maliza tatizo mara moja...kula tunda hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boy ushaonaga wanaume wenzako wanavyochezea koki za wanaume wenzao??? Ukiona mwenzio ananyolewa,zako tia maji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom