samalanga
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 336
- 245
Mwambie amuache mumewe maana Hawezi kupenda watu wawili at a time
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
kama ulivyotuambia sisi, na muombe ushauri pia!
Alisema kwasababu tulipotezana hapo katikati akahisi tumefika mwshoMuulize kama alikuwa anakupenda kwa nini aliamua kuolewa?...
Tatizo wanalazimisha kuwapenda watoto wao
Usikubali kushawishiwa kufanya yasiompendeza Mungu maana hayatakuletea matokeo mazuri ktk maisha yako.Alisema kwasababu tulipotezana hapo katikati akahisi tumefika mwsho
Sent using Jamii Forums mobile app