USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda

Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Achana naye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushasema kuwa ni mke wa mtu,
Kipi kingine unachotafuta?
Na wala haupo njia panda,iyo njia panda umeileta mwenywe na una matatizo,bila shaka
Na ninyi inaonekana ndo huwa mnaaribu Ndoa za Watu,Mke wa Mtu wa nn?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom