USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda

USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda

Mke wa mtu huyo,mpende on your own risk..mumewe akikubamba utabani dunia ifunguke ukimbie..
 
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Tafunaaaaaa .....mmewe hajui shughulii
 
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Nitumie namba zake mkuu alafu nitakuambia chakufanya
 
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Nyoko........ Ujinga ujinga ati mke wa mtu ananipenda. Kaka unatakiwa kuwa mwanaume thabit sio ukioneshwa meno tu unapendwa utakufa kwa uzinzi
 
Ukishatembea nae.. utakuja kujigundua nawewe ni tunda.. na utaliwa vizuri tu
 
Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Tafuta hii midoli ya mipini wanayotumia kinadada uanze kufanya mazoezi kijana. Maana kwa hakika utakutana na mumewe na jamaa zake soon.
 
Back
Top Bottom