Tembea na Ky muda wote.Habarini wakuu
Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
hii biashara ya kishwaini ya kuchat chat na wanawake wa watu ndio inapelekea cheating. Na huyo mwanamke anaonekana goalkeeper ndio wengi wako na tabia za kushinda kwenye sms halafu akifumaniwa akaachwa atajifanya kujiliza liza ovyo!Hiyo moja wapo mkuu
Dah...hadi kufikia 2020...bongo tutapoteza zaidi ya nusu ya wanaume 😡Habarini wakuu
Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
mpende du, au ndo wewe nini hahaha yajayo yanafurahishaHabarini wakuu
Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Duh sio ivyo mkuu ataki niwe na mwanamke mwingineKama kikuona huwa anajisikia vibaya anza kutembea na panado mkikutana umpe
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mimi kivip mkuu?mpende du, au ndo wewe nini hahaha yajayo yanafurahisha
Mwambie akutumie message halafu mfowardie mume wake.Habarini wakuu
Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Kwanini mkuu? Tutauliwa?Dah...hadi kufikia 2020...bongo tutapoteza zaidi ya nusu ya wanaume 😡