USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda

USHAURI: Mke wa mtu anadai ananipenda

Habarini wakuu

Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Ni vyema Na wewe mpende pia mkuu,
Maana tunaambiwa tupendane, mpende Na mumewe Kabisa mkuu
 
endelea na utabiri wako.....sindano inauma ikiingia .......wkt wa kutoka walaaa....
 
Yeye ameolewa lakini hataki kukuona ukiwa na Mwanamke mwingine, achana nae atakuletea shida huyo usijiingize kabisa kwenye mahusiano nae.
 
Mtu akiwa in a relationship na kukutamani, hilo halina shida. Crushes happen from time to time. Shida ni when they start acting on it.

Mwambie a-concentrate na ndoa yake.

Sasa na wewe ulikuwa unamtamani kabla hajaolewa and you did nothing. Sasa hivi kaolewa ndo unataka u-act on your desires. Acha hizo.
Mkuu asante kwa ushauri. Ila how najizuia tusifikie kucheat naona ndio mtihan
 
Kuna ubaya gani ukipendwa,,?
Binadamu ili ajihisi included lazima aone kuwa anapendwa hiyo inakusaidia katika ubongo wako kujiamini zaidi
We usianze kuwaza ngono hapo kwa mke wa mtu sikutishi ila utaumia
Yeye kanipenda kingono. Ingekua kawaida nisingewasumbua kuomba advice
 
Back
Top Bottom