RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,023
- 137,703
Mkuu hujaweza kusoma katikati ya mistari?!!Zungumza naye akueleze tatizo lake kwa upana.
Wengi wanakuwa na tatizo hilo ila wakishazaa linapotea
Kama bado unampenda muandae isaikolojia tu kuwa siku akisikia una kamchepuko nje asishangae.