LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,656
Ushaambiwa dakika 45 ndo muda wa chini kabisa ila mpaka lisaa li moja,Hebu fafanua huo muda
Ushaambiwa dakika 45 ndo muda wa chini kabisa ila mpaka lisaa li moja,Hebu fafanua huo muda
Yaani Dk 45 kwa goli 1 hata mie ningelia kwa kweli hahahahaaaaDuuh dk zoote hizo ndo maaana jamaa
Kabisaa yaani uyu bwana yaonyesha hata angepewa 4hrs asingerizika, maana hafikirii kuna kumchubua mwenzie au vipi yeye anataka kuweka tu, unaweza kufanya hata dk 20 lakini ukaridhika na ukamridhisha mwenzio watu mnataka kufanya kama mko kwenye mashindanoNafikiri hakuna uwiano wa kufanya muda mrefu na sexual satisfaction
Kabisaa yaani uyu bwana yaonyesha hata angepewa 4hrs asingerizika, maana hafikirii kuna kumchubua mwenzie au vipi yeye anataka kuweka tu, unaweza kufanya hata dk 20 lakini ukaridhika na ukamridhisha mwenzio watu mnataka kufanya kama mko kwenye mashindano
Haswaa baba Ubarikiwe sana, kuna wanaume hawana huruma hawajui kule chini hakuonekani ndani ila maumivu yake utapofanya ndivyo sivyo sie ndo tujuaoKuanzia dakika ya 9 mwanamke anauwezo wa kufikia climax depending na foreplay ,ila huo muda wake aliouweka unafanya sex pleasure kuwa vita na baada ya hapo ni maumivu kwa kila upande.