hahha beautiful women wapo busy wanatogozwa watapata wapi muda wakuingia jf wabishane na mzabzab wewe
We waongelea beautfl and dumb women kama kina lulu wanaotumia vajay kuishi mjini,am beautfl and smart so mtandaoni lazima niwemo ukizingatia nasoma masters yangu now.
mdogo wangu, siku hizi nimeamua kabla sijatoka sugu kushauri watu niwe na-google kwanza vizi story, nakushauri na wewe uwe unafanya hivyopiga shule best!
huyo alikuwa ni girl friend ,ryt??
GROW UP!PIGA SHULE!mwache!una wazazi kibao wanakutegemea na kusubiri uwasaidie baada ya kumalzia shule yako!
Kugombana si fani yangu....!mtu anaekwambia anakuona muda wote jf ujue nae yumo.Jf inaniongezea cku za kuishi,huwa nafurahi sana na vikwazo ni sehemu ya maisha.Vidole havilingan
mdogo wangu, siku hizi nimeamua kabla sijatoka sugu kushauri watu niwe na-google kwanza vizi story, nakushauri na wewe uwe unafanya hivyo
Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake | Udaku Specially
cc. Ablessed, Nivea, Smile, BAK, Dark City. watu8, Jiwe Linaloishi, cacico, Mamndenyi, King'asti, mwaJ, Kaunga, gfsonwin, Nyani Ngabu, Preta, sweetlady, dada white, Kongosho, ...........
Habari za jioni wana JF!!
Mimi ni kijana wa kitanzania, najitokeza hapa mbele yenu kuomba ushauri kwa haya makubwa yaliyonikuta.
Nilianza chuo miaka mitatu iliyopita, nikimaanisha kwa sasa nipo mwaka wangu wa mwisho katika hii kozi ninayoichukua. Nilianza chuo bila kuwa na uhusiano wowote ule wa kimapenzi na msichana hapa chuoni kwa mwaka wote ule wa kwanza.
Hali hiyo ilibadilika baada ya kuingia mwaka wa pili, kwani kipindi hicho kukawa na mwaka wa kwanza wanaingia na bahati nzuri nikatokea kumpenda msichana mmoja mrembo wastani sema ni mstaarabu haswaa. Nilijaribu bahati yangu na mungu si athumani huyu msichana akanikubalia na tukaanza mahusiano yeye akiwa mwaka wa kwanza,mimi wa pili. Tuliishi kwa amani na -furaha kwa kipindi chote kile(nikimaanisha semester zote mbili za mwaka wangu wa pili).
Kinachonifanya kuandika hapa ni hiki sasa, mwanzoni mwa semester iliyopita nilianza kusikia tetesi kutoka kwa marafiki zangu ya kuwa huyu msichana niliye naye anatoka na mmoja wa ma-lecturer wanaomfundisha. Sikuliamini hilo, nikaamua kumuliza mwenzangu kwamba nimesikia hili na hili, je kuna ukweli wowote? Alikataa kata kata na kusema huo sio ukweli na nisiamini kila ninalolisikia, kwa kuwa ni mstaarabu sana na kwa jinsi alivyokuwa akiongea basi nikamuelewa kwa muda ule.
Ila sikuishia hapo nikaendelea na uchunguzi wa chini chini bahati mbaya sikuambulia lolote kuhusu uhusiano wake na- huyo lecturer zaidi ya yeye kuwa na ratiba ya -kwenda kwao kila baada ya wiki mbili kuanzia ijumaa jioni mpaka jumapili ambao ni utaratibu wake toka anaanza chuo. Na hiyo ijumaa mpaka jumapili akiwa nyumbani mawasiliano yalikuwa yakipungua sana kwa sababu alikuwa akisema anakuwa busy sana na shughuli za nyumbani kwao na hata usiku ukimpigia simu alikuwa hapokei kwa madai analala na ndugu yake na kwahiyo atakuwa anampigia kelele.
Leo mchana sasa, nilimpigia simu twende tukapate chakula cha mchana lakini alikataa na kuniambia kuna kazi anaifanya kwanza mpaka aimalize ndio ataenda kula, mimi nikatangulia kwenda kula ila wakati narudi nikakutana na rafiki yangu, akaniuliza mbona nimekutana na bibie(mchumba wangu) anakula na Mr. X (huyo lecturer niliyeambiwa anatembea naye ) sehemu flani(ma-lecturer wengi ndio wanapokula hapo na kama utakuta wanafunzi basi ni mmoja mmoja ambao wako vizuri sana kifedha) sikuamini, nikaenda kuhakikisha Nilichokiona aisee sikuamini macho yangu, wote wawili walikuwa wamekaa wakipata lunch tena wakionekana wenye furaha.
Nilimpigia simu lakini hakupokea, aliishia kuiangalia tu simu yake na kuirudisha kwenye meza Nikamtumia meseji ya kwamba nimemuona na nimezima simu yangu mpaka sasa, hapa natafakari nimfanyaje huyu msichana kwa hili alilonifanyia??? It hurts kwa kweli ikizingatiwa huyu lecturer ana mke kabisa so what if ndio tabia yake hiyo kutemebea na wanafunzi? Si -ndio kuambukizana magonjwa huku??
Naombeni ushauri wenu wana -JF, nimfanyeje huyu kiumbe??
mdogo wangu, siku hizi nimeamua kabla sijatoka sugu kushauri watu niwe na-google kwanza vizi story, nakushauri na wewe uwe unafanya hivyo
Ushauri mchumba wangu anatembea na lecturer wake | Udaku Specially
cc. Ablessed, Nivea, Smile, BAK, Dark City. watu8, Jiwe Linaloishi, cacico, Mamndenyi, King'asti, mwaJ, Kaunga, gfsonwin, Nyani Ngabu, Preta, sweetlady, dada white, Kongosho, ...........
Nashukuru,kumbe tuna play game hatumshauri mtoa mada
nimezigundua nyingi sana ndo maana wala huwa sichangii serious, nikiingia ni kuchat tu na siyo kutoa ushauriHahahahaa daaah! Umemkamata huyo.
Halafu hiyo style yako nimeipenda. Nami huwa naitumia sana.
nimezigundua nyingi sana ndo maana wala huwa sichangii serious, nikiingia ni kuchat tu na siyo kutoa ushauri
hii inaniudhi sana
nimezigundua nyingi sana ndo maana wala huwa sichangii serious, nikiingia ni kuchat tu na siyo kutoa ushauri
hii inaniudhi sana
mwenzio alijua kapata mchumba.Mwambie yake sabuni hela ya salon hana afu anataka demu mkali usijidanganye dogo kuwa na demu mjini garama soma ukomboe familia yako toka lindi la umaskini
Ngoja nikupe LIKE LIKE LIKE LIKE LIKE
asante mdogo wangu....hahha ulikuwa hujui hapa birudisha balaza lol pole
Mtombe sasa mpaka umchubue ----,hawezi kwenda kuitombesha kwingine!Habari za jioni wana JF!!
Mimi ni kijana wa kitanzania, najitokeza hapa mbele yenu kuomba ushauri kwa haya makubwa yaliyonikuta.
Nilianza chuo miaka mitatu iliyopita, nikimaanisha kwa sasa nipo mwaka wangu wa mwisho katika hii kozi ninayoichukua. Nilianza chuo bila kuwa na uhusiano wowote ule wa kimapenzi na msichana hapa chuoni kwa mwaka wote ule wa kwanza.
Hali hiyo ilibadilika baada ya kuingia mwaka wa pili, kwani kipindi hicho kukawa na mwaka wa kwanza wanaingia na bahati nzuri nikatokea kumpenda msichana mmoja mrembo wastani sema ni mstaarabu haswaa. Nilijaribu bahati yangu na mungu si athumani huyu msichana akanikubalia na tukaanza mahusiano yeye akiwa mwaka wa kwanza,mimi wa pili. Tuliishi kwa amani na furaha kwa kipindi chote kile(nikimaanisha semester zote mbili za mwaka wangu wa pili).
Kinachonifanya kuandika hapa ni hiki sasa, mwanzoni mwa semester iliyopita nilianza kusikia tetesi kutoka kwa marafiki zangu ya kuwa huyu msichana niliye naye anatoka na mmoja wa ma-lecturer wanaomfundisha. Sikuliamini hilo, nikaamua kumuliza mwenzangu kwamba nimesikia hili na hili, je kuna ukweli wowote? Alikataa kata kata na kusema huo sio ukweli na nisiamini kila ninalolisikia, kwa kuwa ni mstaarabu sana na kwa jinsi alivyokuwa akiongea basi nikamuelewa kwa muda ule.
Ila sikuishia hapo nikaendelea na uchunguzi wa chini chini bahati mbaya sikuambulia lolote kuhusu uhusiano wake na huyo lecturer zaidi ya yeye kuwa na ratiba ya kwenda kwao kila baada ya wiki mbili kuanzia ijumaa jioni mpaka jumapili ambao ni utaratibu wake toka anaanza chuo. Na hiyo ijumaa mpaka jumapili akiwa nyumbani mawasiliano yalikuwa yakipungua sana kwa sababu alikuwa akisema anakuwa busy sana na shughuli za nyumbani kwao na hata usiku ukimpigia simu alikuwa hapokei kwa madai analala na ndugu yake na kwahiyo atakuwa anampigia kelele.
Leo mchana sasa, nilimpigia simu twende tukapate chakula cha mchana lakini alikataa na kuniambia kuna kazi anaifanya kwanza mpaka aimalize ndio ataenda kula, mimi nikatangulia kwenda kula ila wakati narudi nikakutana na rafiki yangu, akaniuliza mbona nimekutana na bibie(mchumba wangu) anakula na Mr. X (huyo lecturer niliyeambiwa anatembea naye ) sehemu flani(ma-lecturer wengi ndio wanapokula hapo na kama utakuta wanafunzi basi ni mmoja mmoja ambao wako vizuri sana kifedha) sikuamini, nikaenda kuhakikisha Nilichokiona aisee sikuamini macho yangu, wote wawili walikuwa wamekaa wakipata lunch tena wakionekana wenye furaha.
Nilimpigia simu lakini hakupokea, aliishia kuiangalia tu simu yake na kuirudisha kwenye meza Nikamtumia meseji ya kwamba nimemuona na nimezima simu yangu mpaka sasa, hapa natafakari nimfanyaje huyu msichana kwa hili alilonifanyia??? It hurts kwa kweli ikizingatiwa huyu lecturer ana mke kabisa so what if ndio tabia yake hiyo kutemebea na wanafunzi? Si ndio kuambukizana magonjwa huku??
Naombeni ushauri wenu wana JF, nimfanyeje huyu kiumbe??
asante mdogo wangu....
Ila inaudhi sana unapoona story ukadhani ya uweli ukataka kushauri.
Mi nadhani wangekuwa wanasema kuwa wameikuta sehemu.......
mbona kama mimi nikiweka story niliyoikuwa sehemu huwa nasema hii nimekutana nayo sehemu ili wachangiaji wachangie tu siyo kwa kunishauri mimi......
hapa unajua kuna watu watakuwa na shida kweli watakosa ushauri mzuri kwa sababu hii