Ushauri: Mchumba wangu ana maumbile makubwa

Ushauri: Mchumba wangu ana maumbile makubwa

mbona jibu jepesi.. umesema kuolewa unataka sasa chagua ktk misingi ipi ya kuumizwa au yakutokuumizwa..?
hatari nayoiona hata kama mtu huyo akikuoa hautampenda! maana bdl ya raha,karaha! kama utaweza kumvumilia olewa kama huwezi acha,toa hofu ya wazazi maana hapo ni wewe si wazazi kama unaumia unaumia wewe..
 
Kwanini uteseke mamaa, mwambie uyo asiyekuumiza akuoea,afu uyo jamaa mwambie atafte size yake
 
Huyo mkaka unaona anakuumiza kwa vile humpendi upo nae kwa ajili ya hizo hela zake tu...

Usimuumize kaka wa watu...wewe endelea na huyo unaempenda.

Maana hata akija kukuoa utamsaliti tu...
 
Nimepata mchumba japo simpendi sana anataka kunioa tatizo lake ana maumbile mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.

Nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana, huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au lah.

Iila huyu mwenye uume mkubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tukisex naumwa sana.

Naombeni ushauri maana kuolewa nataka
U don't love him that is it.. Unataka ushauriwe nini zaidi... Mapenzi sio pesa kafurahie kitombo pesa mtatafuta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushauri ni mwingi sijui utafata upi
ushaur wang tafuta ambae utampenda na atakaekupenda ambaye mtaendana maumbile yenu ili msilete michepuko badae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama humpendi usiolewe naye.ila wanawake hamliziki akiwa na bamia unalalamika akiwa Mandingo a.k.a mashine ya punda unalalamika.halafu unamchiti Mandingo wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepata mchumba japo simpendi sana anataka kunioa tatizo lake ana maumbile mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.

Nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana, huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au lah.

Iila huyu mwenye uume mkubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tukisex naumwa sana.

Naombeni ushauri maana kuolewa nataka
Kwanza uache umalaya ,pili isikie sauti yako Fanya ukipendacho
 
Back
Top Bottom