Ushauri: Mchumba wangu ana maumbile makubwa

Ushauri: Mchumba wangu ana maumbile makubwa

Ushaanza na humpendi,Hata ukiambiwa ufanye nini I'm not sure kama utakubaliana nacho.
 
Miafrika bwana mnafikiria mapenzi ni kugegedana tu, angalia dada mueleze jamaa situation yako na mfundishe jinsi ya kukuandaa alaf pia muekee stail ambazo zitamfanya asiingize Dushe lote Papuchini such as Katerero na nk
Huyo unaesema ukifanya huumii unaweza ukawa unampenda lkn yeye hana malengo na wewe alaf pia acha kumsaliti Mr. Hogo km hujaridhika nae mwache aende zake. Goodlucky
 
Nimepata mchumba japo simpendi sana anataka kunioa tatizo lake ana maumbile mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.

Nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana, huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au lah.

Iila huyu mwenye uume mkubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tukisex naumwa sana.

Naombeni ushauri maana kuolewa nataka
Punguza dawa za kupunguza uke na uache viungo utainjoi kwa huyo mwenye uume, achana na mazoea ya hivyo vibamia

Wanawake atayewaweza ni kfo tuu kila pande hamsikiki
Kadogo kibamia, kuubwa unaumia sasa tufanyeje?

Anyway tumejua umepata bwana mwenye hera na anadusheee kubwaaa
 
muache kaka wa watu usije kumpa stress bure .hujitambui.mara humpendi ,mara uume mkubwa .mara jamaa mwingine anakufurahisha. ? hueleweki una shida gani .endelea kukojozwa huko.mwanaume kama humpendi utaona anakuumiza tu maana huna nyege nae
Hii ni akili kubwa mnoo uliyonayo

Ulisitahili uwe mcheza mpira kabisaaa
 
muache kaka wa watu usije kumpa stress bure .hujitambui.mara humpendi ,mara uume mkubwa .mara jamaa mwingine anakufurahisha. ? hueleweki una shida gani .endelea kukojozwa huko.mwanaume kama humpendi utaona anakuumiza tu maana huna nyege nae
Mkuu nimekukubali kwa busara zako kuhusu huyu mtaka vyote.
 
Nimepata mchumba japo simpendi sana anataka kunioa tatizo lake ana maumbile mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.

Nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana, huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au lah.

Iila huyu mwenye uume mkubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tukisex naumwa sana.

Naombeni ushauri maana kuolewa nataka
Weka picha zote mbili ndiyo tkualie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika wewe ni muumini mwema. Leta sadaka yako ghalani mwangu.
Cash money pokea mtumishi ili ghalani mwa Bwana kuwe na chakula cha kutosha kisha nitakujaribu ili unifungulie madirisha ya mbinguni na kunibubujishia baraka tele.ila mtumishi hako kabia tu ukixingatia na ukata huu usiidondoshe aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cash money pokea mtumishi ili ghalani mwa Bwana kuwe na chakula cha kutosha kisha nitakujaribu ili unifungulie madirisha ya mbinguni na kunibubujishia baraka tele.ila mtumishi hako kabia tu ukixingatia na ukata huu usiidondoshe aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika wewe ni muumini mwema. Mimi na wewe tutakuwa sote kwenye ufalme wa mbingu.

Kule kuna mito inayotiririsha maziwa, asali na bia. Chaguo ni lako
 
Ndio yule aliekua anakugonga mpaka ukaja kuomba ushaur unaumwa na tumbo baada ya tendo

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Mamiake dada yangu kwa maono yangu nadhani huyo mwenye hogo ana uwezo wa kifedha na yuko responsible na huyo kibamia ni kapuku. Sema wewe unampenda kibamia kwa sababu anakukuna unavyotaka. Mwenye hogo anakuumiza sio kwa kuwa "mashine" yako ni ndogo, la hasha, bali ni kuwa kisaikolojia humpendi. Hapo kinapita kichwa cha mtoto ndio iwe dushe? Mwanamke asipotayarishwa kabla ya tendo au kutompenda mwanaume kichwani basi sex huwa ni maumivu tu. You can't have it both ways dada angu. Mpunga wa hogo unaupenda na mchezo wa kibamia unaupenda. Angalia nani anakufaa kwa maisha yako.
 
Nimepata mchumba japo simpendi sana anataka kunioa tatizo lake ana maumbile mkubwa kila tukifanya tendo naumia sana.

Nimejaribu kwa jamaa mwingine naona siumii naenjoy sana, huyu anaenifurahisha kitandani sijui kama ni muoaji au lah.

Iila huyu mwenye uume mkubwa hata nyumbani ameshaenda na wanampenda sana wazazi nimechanganyikiwa sijui nifanyeje japo ana hela na maisha mazuri ila tukisex naumwa sana.

Naombeni ushauri maana kuolewa nataka

Mwanaume MASHINE

Huyo akikuoa baada ya mwaka tu atakutoa kizazi [emoji23]
 
Back
Top Bottom