Jibu lakiwakiBadilisha mbao nyingine
Mkuu oil chafu ndo ile iliyotumika kweny gari au pikipiki??Paka tena dawa hiyo mbao zikiwa hapo hapo kwenye nyumba.
Zipo dawa rasmi za kupakwa zinauzwa maduka ya hardware au tumia Oil chafu. Kwangu mimi ninaona bora oil chafu, kwa kuwa haina ujanja ujanja mwingi kuliko hizo dawa rasmi ambazo unaweza kuuziwa feki kama sio mjuzi.
Kabla sijapiga bati, fundi alianza kupaka oil ya pikipiki ila nikawa naona kama ni nyepesi, hivyo nikaenda kununua oil ya magari, ni nzito sana, yaani ukipaka inanyong'onyea hadi ndani ya mbao! Mbao inakuwa nyeusi tii, halafu mdudu anakosa kabisa sehemu ya kudonoa mana ubao unakuwa umefunikwa na oil.OK vipi ya pikipiki haifai au mpaka ya gari tu wajuvi mnasemaje ni kweli??
Kwenye magarage hua wanauza oil chafu? au zinapatikana wapiPaka tena dawa hiyo mbao zikiwa hapo hapo kwenye nyumba.
Zipo dawa rasmi za kupakwa zinauzwa maduka ya hardware au tumia Oil chafu. Kwangu mimi ninaona bora oil chafu, kwa kuwa haina ujanja ujanja mwingi kuliko hizo dawa rasmi ambazo unaweza kuuziwa feki kama sio mjuzi.
1.Wewe paka, oili chafu ya magariOili chafu ya magari paka
Mkuu ulipaka oil chafu mbao zikiwa chini au baada ya kupau..?Kabla sijapiga bati, fundi alianza kupaka oil ya pikipiki ila nikawa naona kama ni nyepesi, hivyo nikaenda kununua oil ya magari, ni nzito sana, yaani ukipaka inanyong'onyea hadi ndani ya mbao! Mbao inakuwa nyeusi tii, halafu mdudu anakosa kabisa sehemu ya kudonoa mana ubao unakuwa umefunikwa na oil.
Mpaka leo hizo mbao mdudu hasogei.
Kabla ya kupaka oil nilimwambia fundi mapema, kwamba, nitatumia oil chafu hivyo akae analijua hilo, akakubali nikampa kazi.
Mafundi wengi hawapendi kutumia oil kwa sababu ya kuchafuka, ila oil chafu ni kiboko ya wadudu!