Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Dah asante mkuu kwa kuleta uzi huu mimi nimeplan kuhamia marekani mwaka huu mwishoni panapo majaaliwa kuna kakaangu atanialika hebu naomba kujua Visa ya kwanza ni muda gani wanakupa na ameniambia atanitafutia kazi kwa mwezi kiasi kadhaa mana kuajiriwa bongo mshahara wote unaishia kwenye matumizi hebu naomba msaada kujilipua usa inakuaje au ndo trumph atanirudisha kwetu mkuu asante
Naweza kukuoa ili niwe nakuja USA kukutembelea!
 
Mimi nipo Stockholm kwa zaidi ya half decade ntaeleza badae Ni kwa njia gani waweza tumia but briefly Kuna timu ya mpira huku inaitwa Kilimanjaro ipo under Athuman Machupa Na Shekhan Rashid and co wanaweza kusaidia pia kuwaleta wabongo huku. lusungo
Hongera mkuu
 
Eisenhower Fellowship: Eisenhower Fellows
Alu Entreprenurial Leadership scholarship Apply at https://alueducation.com/entrepreneurial-leadership-scholarship

Internship opportunity at the African Development Bank Headquarters Internship Programme - African Development Bank

UWE Bristol International Summer School International Summer School - UWE Bristol: International students

Young Enterprise Sscale-Up (YES) Bootcamp HYBR YES Bootcamp Application Form

Kasahorow Writers’ Fellowship kasahorow Fellowship - 2017 Application

Knight-Hennessy Scholars program Apply Now

YOUFORG20 # [HASHTAG]#youforG20[/HASHTAG]: Dein Projekt für eine vernetzte Welt | youforG20

Vacancy Announcement - 43 positions at the SADC Secretariat Southern African Development Community :: VACANCY ANNOUNCEMENT - FORTY THREE POSITIONS AT THE SADC SECRETARIAT

Part-time Research Assistant (Tanzania) ITD-DCD-26 Research Assistant (0.6 FTE - Tanzania) - Jobs at LSHTM

Marketing Coordinator for help2kids, (Fluent in English)
Send your cover letter and CV to applications@help2kids.org by Monday May 29th, 2017. Mention Marketing Coordinator Position in the subject field.

2017 OSISA scholarships for african women media leaders at Rhodes University www.ru.ac.za/applying

Communications Coordinator - Indigenous Education Foundation of Tanzania (IEFT) Communications Coordinator @ Indigenous Education Foundation Of Tanzania (Ieft) on Escape The City

Department of State-Embassy of the United States, Dar es Salaam, Tanzania Notice of Funding Opportunity FY2017 Funding Opportunities | U.S. Embassy in Tanzania

Paediatrician/Neonatologist vacancy
Application form | Cuamm English

Cambridge-Africa ALBORADA Research Fund: 2017 Call Cambridge-Africa » a working partnership between the University of Cambridge and several African universities & institutes

If you are passionate about interacting directly with customers and being on the front line to bring the magic of software to customers and businesses, the Interns4Afrika sales path could be right for you https://www.microsoft.com/africa/4afrika/interns4afrika

PhD Training Fellowships for Women Scientists from Science and Technology Lagging Countries https://owsd.net/career-development/phd-fellowship#menu-development

The Embassy of France to Tanzania is offering 2 years scholarships for students applying for a Master degree in France as well as PhD scholarships for 3 months year on a 3 consecutive year period https://tz.ambafrance.org/Scholarship-call-for-applications-2017

Charity Job: Programme Manager - Tanzania Programme https://www.charityjob.co.uk/volunteer-jobs/programme-manager-tanzania/504647?tsId=1

Nutrition Officer - (Integrated Management of Acute Malnutrition), NOB, Dar es Salaam (Tanzanians only). More info at https://uncareer.net/vacancy/nutrition-officer-integrated-management-acute-malnutrition-n

Job: Monitoring & Evaluation Project Manager https://careers.wvi.org/jobs/tanzan...ion-project-manager/7415#sthash.wnf09CY5.dpuf

VSO Tanzania - Volunteer: Business Advisor https://www.vsointernational.org/vo...-pro/jobs/business-advisor-a0md000000bdhpciar

Job: Tanzania - Chief of Party, Internews Network https://chm.tbe.taleo.net/chm04/ats...0491.80869843.1494259975-685405167.1478105151

Job: Programme Finance and Administrative Coordinator http://www.options.co.uk/jobs/programme-finance-and-administrative-coordinator

Job: Tanzania: Finance & Operations Director
Organization: Internews Network
Country: United Republic of Tanzania https://chm.tbe.taleo.net/chm04/ats/careers/v2/viewRequisition?org=INTERNEWS&cws=38&rid=703

2017 UN DESA Grant on Energy for Sustainable Development https://poweringthefuture.un.org

Reham Al-Farra Memorial Journalists Fellowship opportunity for young journalists to report @UN https://outreach.un.org/raf

Civil Society Leadership Awards www.opensocietyfoundations.org/grants/civil-society-leadership-award-20160708
 
Mkuu nakutafuta unipe mail address yako nikutumie katiba na strategic plan ya ile org sijui ulinisoma#izzo
 
Mkuu Saplaiz
Toka uzi ulivyo anzishwa Na Mkuu Lusungo sijaondoka Ktk hili jukwaa.Hata wafitini walivyo chafua hali ya hewa Na Mkuu Izzo akasita kuendelea Na programs hivyo vyote nimevisoma.Kwa bahati nzuri tu wafitini wameweza kutusaidia kuwaona WaTanzania wengi NI wakarimu,wazalendo Na hawana roho za Kwa nini.Kwa wanao taka kuwa kwenye magroup ni sawa tu:
asante
 
msiogope wala msikatishwe tamaa na wanga waliojaa humu ndani.kama una nia thabit njoo utafute maisha kwenye nchi za watu utatoka.mimi mtoto wa kike nilianza kwa trump kisha ndio nikadondoka sauz.huwez amini nimeosha kuanzia magari mpaka maiti.hakuna kazi nilioacha ikanipita kama inaingiza hela.tokeni bongo.hakuna ishu zaidi ya kupiga mizinga na kungojea ugali wa shkamoo.muda si mrefu nitahama nchi ila napenda niwasaidie wataopenda kabla sijaondoka.tokeni bongo mfunguke akili.
Mimi nipo tayari ni dactari nina pesa account hyo amount uliosema naomba email tuanze mchakato nije.
 
Naomba kujuzwa kuhusu mambo haya yafuatayo kwa wenye kujua.
1) Ukiwa SA Usalama kwa wageni hususan ( wa tz, wa naija,wa Congo nk)
*Xenophobia
Hivi karibuni kumekua na migogoro ya kisiasa SA kuhusu Rais wao Zuma, matukio mabaya wanayofanyiwa wageni yanaongezeka maradufu, nahisi xenophobia inakaribia kurudi.
*Wabongo waishio SA ni watu wa aina gani?
Watz tumekuwa ni watu wakuogopwa sana katika muungano wa SADC kwanini? Inafikia hata ukitaka kwenda SA kama hauna mwenyeji unashauriwa kaa mbali na Wabongo. Unashauriwa kama unatokea Tz ukiulizwa mtaani umetokia nchi gani nibora utaje Kenya au Uganda(Kama anaekuuliza sio government officer/immigrants officer).Kuna group Facebook la Wabongo linaitwa MABAHARIA (SAILORS) SOUTH AFRICA yani kila usiku matangazo ya vifo vya Wabongo haipiti wiki au wiki mbili utasikia mwenetu katangulia mbele za haki, alikua ni mpambanaji sana tena kifo chenyewe utasikia kachomwa kisu/kachinjwa au kapigwa gun.
2)Work permit
Vp upatikanaji wa ajira za engineering ukiwa South Africa kwa watanzania kuko vp? Dream yangu ni kuanzia na SA kwanza najua most developed countries(Europe/US/CANADA) hawawezi kui value bachelor ya engineering kutoka bongo naona nibora niingie SA nifanye kazi kama miaka 3 huku nikiwa nasoma postgraduate then nitimkie developed countries.
3)Kwenda developed countries
Suala la kutoka tz kwenda US,AMERICA & ASIA linahitaji uwe na capital kubwa Visa,nauli, accommodations within 3 months sio kitu kidogo kwa nchi za wenzetu.Je ipi ni njia rahisi kuingia huko kati ya zifuatazo.
*Kusomea ubaharia mandatory course pale DMI then unatafuta kazi kwenye ship cargo za ughaibuni ukipata ndio BBM Bongo Bahati Mbaya.
*Njia ya kwenda kusoma.
NOTE; Unaweza kuchangia kutoa maoni au ushauri kwenye kifungu ambacho unakijua
 
Jamanii kuna Dada mmoja Wa Marekani Alikuja Bongo alikuwa Anafanya Research....sasa mm nilikuwa nae japo si sanaaaa....ila eneo alilokuwa anafanyia research anavoondoka aliniachia Email yake na Alikuwa Mwaka wa mwisho ni Medical Doctor! Sasa nilimtumia Email kumuomba Anitafutie Scholarship au Sponsorship....Jana Kaijibu Email yangu kaomba msamaha kwa kuchelewa kuijibu na Anasema analikuwa ana Ifikiria kwa mda mrefu sana

Akasema yeye hajaaanza bado kutengeneza hela zake na itamchukua miezi kadhaa lakini akaomba nimtumie gharama za Ada kuishi na mimi naweza kutoa kiasi gani ili aangalie kiasi gani nahitaji .....mm nimemjibu jana Usiku kuwa kwa mwaka mzima.....Ada na malazi nahitaji Dollar za kimarekeni 4,912 na kwa mwaka mm naweza kuchangia Dollar za kimarekani 1,000 so nahitaji dollar 3912 kwa mwaka....

Sasa ndio nasubiri majibu Jamani je Niwe na Matumaini kiasi hicho cha pesa kwa mwaka au nimesema hela kubwa sanaa kwa mwaka siwezi pewa kabisaa nishaurini hapa!
 
Nani mwenye idea kuhusu fursa zilizopo Indonesia?
Indonesia inazalisha vitu vingi sana. Kuna viwanda vya magari, vitu vya umeme mkapa, vyakula, vifaa vya kijeshi na kadhalika.

Ni nchi yenye uchumi mkubwa kuliko wote kusini mashariki mwa Asia, kupita hata Singapore. (1 trillion $ economy).

Fursa nzuri ni kununua madawa, huko ni rahisi kuliko India. Pia magari mepya ya Kijapani ni $10,000 tu, minivan Toyota. Wanasuka kila kitu wenyewe.

Vyakula ni rahisi na kuna viwanda vikubwa sana vya nguo, hasa za Kiislamu.

Viza pia haina usumbufu, unapewa bure uwanjani, siku 30.
 
Back
Top Bottom