Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mtu asiyejulikana.

Mtu kabla ya kuomba huwa anainterest na anakopenda kwenda.
Mimi niliomba Norway, Australia, UK, Japan na China.

Kila mtu atapambana na hali yake kama ataona hapafai
Mimi nimeona mataifa mengine wanavyotoka watz tupo 3 tu Chuo Chenyr foreigners zaid ya 360.
Haya ndugu yang
Nahitaji sana msaada wako,nahitaji kwenda nje kusoma eitha kwa scholarship au kwa kujilipia kama kuna uwezekano wa kusoma huku ukifanya kazi zisizohitaji utaalamu.
 
Mkuu Dilekeni, kusema ukweli mimi binafsi bado sija-make any progress so far in this regard.

Natumai wadau wengine weshafanikiwa ama wanaendelea kufanya progress.

-Kaveli-
shukran kwa mrejesho mate tupo pamoja. Tusubiri michango ya members wengine
 
Mkuu kaveli
Kajaribu bahati yako kwenda nchi za kiarabu
Hao jamaa sio feki.
Kampuni inaitwa competitive manpower Int'L
Simu 0654 .360.571 na 0752.56.4154
Kila la kheri

Mkuu wangu mgogoone , thanks for sharing such info. Nitafanya follow-up on that. Stay always blessed.

-Kaveli-
 
Mkuu kaveli
Kajaribu bahati yako kwenda nchi za kiarabu
Hao jamaa sio feki.
Kampuni inaitwa competitive manpower Int'L
Simu 0654 .360.571 na 0752.56.4154
Kila la kheri

Mkuu mgogoone , nimecheki website ya hao 'Competitive Manpower International' Welcome to Competitive Manpower International................... ... naona ni kampuni kubwa ya kimataifa.

Ni Recruitment Agency yenye branches kwenye nchi nne: KENYA (Headquarter), Tanzania, Uganda, na Uarabuni.

Contact.JPG

UAE.JPG

Kwa branch ya Tanzania, contacts/simu ni hizo hapo nilizoweka mabano mekundu... kwa mujibu wa website yao.

Kuhusu kazi, website inasema there is NO job openings kwa sasa !

No jobs.JPG

Nitaendelea kufanya follow-ups from time to time. Cheers mkuu.

View attachment 609963
View attachment 609964

Kwa branch ya Tanzania, contacts/simu ni hizo hapo nilizoweka mabano mekundu... kwa mujibu wa website yao.

Kuhusu kazi, website inasema there is NO job openings kwa sasa !

View attachment 609971

Nitaendelea kufanya follow-ups from time to time. Cheers mkuu.

-Kaveli-
Mkuu kaveli nenda ofisi zao ziko mwembechai
Watakupa application na maelezo kuhusu hizo kazi
Wadogo zangu na marafiki walikwenda hapo wakachukua hizo application na mambo yao yanaenda vizuri.

Oh shukrani sana chief. Nitaenda hapo mwembechai. Ubarikiwe mkuu. Tupo pamoja.

-Kaveli-
 
Ndugu wana JF
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.

Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.

Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.

Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.

Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.

Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.

FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo...

kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.

2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.

CHANGAMOTO
1. changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)

2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu sio zote.

USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.

Jinsi gani utaenda namna ni nyingi.... naorodhesha baadhi hapo chini...
1. kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo...

2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.

3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali,

4. kwenda kwa shughuli za utamaduni

Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake....

Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.

Nawakaribisha nyote. Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele... karibuni tusaidiane tujenge taifa letu... Tuwasaidie vijana wakasake fursa.

Mkuu hizo Nordic Countries ndio zipi? Msamiati umenichanganya kidogo!
 
Thanks for this thread man
 
Mkuu HARUFU
Juzi nilikuwa narudi toka Japan nimekutana na wazungu,wajapani na wachina ambao wanakuja kukata waya bongo(wajasirimali)mimi nimekuja na wajapani 6 ambao wanakuja kuangalia fursa za Kilimo,kufua umeme kwa solor,Maji na madini.
Wakati huo waBongo nao wanakwenda nje kutafuta maisha.Tofauti ni wanaoukuja Bongo wana pesa na wanajua wanataka nini.Sisi (SIO wote) tunakwenda kuanza maisha hatuna pesa na hatujui tuanzie wapi.
Muhimu kwa sisi tutoke nje ya nchi ili tuelimike na kupata pesa ili tukirudi tuzione Fursa.Bongo Kuna fursa kibao Ila utaziona ukiwa unapesa au umetoka nje.
mkuu nauli toka hapa hadi japan shiling ngap
 
  • Thanks
Reactions: D23
Back
Top Bottom