Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu Lusungo umenikumbusha mbali na hii bandiko lako,miaka ya 2001-2002 kuna Mnyakyusa mmoja wa Kyela simtaji jina ila ni mtu maarufu kakaa uingereza kitambo sasa nadhani atakuwa na uraia kabisa hivi sasa,mdogo wetu alikuwa anafahamiana nae akamwomba amtafutie chuo UK,akakubali kijana akajitahidii na sisi wengine tukamuunga mkono pesa ikapatikana nauli na ya muhula wa kwanza sasa ilipofika barua ya mwaliko aaaaaah,huwezi amini aliruka kimanga na kusema ya nini kuja kusoma UK ili hali kuna hata open university hapo dar alitukatisha tamaa sana ni jamaa wa nyumbani lakini ana roho mbaya sana kwa watu baki ila wadogo zake kawapeleka sana huko.
 
Jamani wakuu wangu,mimi sihitaji kutimkia kwa wazungu ila nataka nikomae hapa hapa kuna uzi wowote humu unaotoa taarifa muhimu jinsi ya usafirishaji nafaka jamii ya kunde nje hasa India?na jinsi ya kupata vibali.
 
Umenena vema mkuu HARUFU.
Muhimu katika yote ni UKWELI na UAMINIFU hizi ni rasilimali tulizo nazo

Umenena vema mkuu HARUFU
Muhimu katika yote ulielezea ni UKWELI NA UAMINIFU hizi ni rasilimali tulizo nazo ambazo ni biashara kubwa.Hapa Bongo watu wengi wanatengeneza noti ndefu kwa sababu ya UKWELI na UAMINIFU.
Watu wanayo maduka makubwa mali zote sio zao.
Umaminifu na ukweli ni nini? ukiahidi lazima utekeleze.
Ukisema nitafika saa 6 mchana sio saa 6:10 au 7.Hakuna sababu kwa nini umechelewa.Ukweli ni mgumu lakini lazima useme.Kama huwezi kufanya kitu sema huwezi.
Ukiwa mkweli na muaminifu UTAKUWA HURU
Watu hawatambui hilo au pengine niseme kutokufahamu.

Wanavyoona Watu wanaendesha Biashara wanajua ni tele kwa tele.

Kumbe hawafahamu ya kuwa Biashara ugumu unakuwa mwanzo kwasababu bado wewe Muhusika Mkuu haujatambulika, nikiwa na maana Uaminifu wako.

Siri ya Biashara kwanza, Uaminifu.

Pili, Anwani/Anuani ni kitu muhimu sana.

Nikiwa na maana wewe ukiwa ni kama Mleta bidhaa kwangu au kwa lugha nyingine sijui niseme, wewe ukiwa kama msambazaji wa Bidhaa ninapokuwa na Anwani ya Uhakika (Eneo la kufanyia Biashara, iwe Duka, Kibanda, Fremu), hapo inakuwa nusu imani kutoka kwa Mleta Bidhaa.

Kwahiyo Anwani/Anuani ukichanganya na Uaminifu wangu ndio utakaoleta imani kamili kutoka kwa Mleta Bidhaa.

Suala la Uaminifu ni muhimu sana.

WafanyaBiashara Ulimwenguni kote ujue kitu kinachoitwa Mali Kauli ni sehemu ya Biashara yao.

Mwenye Bidhaa, muhimu awe ameshapata Uaminifu kutoka kwako, basi wewe utalipia mfano nusu tu itakayobakia ujue ni Mali Kauli.

Na wenye Bidhaa wakishakukubali basi usishangae kabla hujamaliza Kizigo na Pesa zao, unamwagiwa tena Mzigo mwingine wa nguvu.

Biashara na Mali Kauli ni kama Mtoto na Mama
 
Ulizaa swali hapo hapo no inbox
Mkuu, hebu naomba utupie ili link au website ya kupata watu wanaohitaji kupokea watu wa kujitolea bure, kuna mdau mmoja alishawahi kutupia hapa JF, lakini nimesahau upo kwenye uzi upi. Msaada kwa mwenye kufahamu
 
Hi guys; kwa kupata scholarship,jobs, internship, training and opportunities zingine cheki hizi site chini.

Moderator pandisha Uzi huu juu watu waone opportunities forums za kuwatoa hapa bongo kwa young dar es salaam;

Forward:
Lots of people are asking for these sites. Here is a comprehensive list of sites where you can access numerous opportunities both for school, for travel, for business and personal growth.

Dont just read and go your way, Help your self... Help your friends... No matter your field, there is something here for you. Take full advantage...

opportunitydesk.org
opportunitiesforafricans.com
afterschoolafrica.com
Diplomacyopp.com
Youthhubafrica.org
Mladiinfo.eu
Heysuccess.com
Youthop.com
Chances4.me
Officialchange.com
Peacechild.org
Idealist.org
Tigweb.org
Voicesofyouth.org
Peacerevolution.net
Aeyco.com
Youthpolicy.org
Fundsforngos.org
Scholars4dev.com

Kindly share to benefit others.
 
Sawa mkuu
 
Ubarikiwe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jambo lolote la kutumia akili lina vitu 3
1 Master plan
2 Time
3 Option number 2

So ww huna vyote nilivyovitaja hapo unatakiwa kwaza ujue unakwenda nchi gani kitendo cha kunambia nchi yeyote ya Ulaya inamaana bado ujashauriana na ubongo wako juu ya kufanya njoo na detals kamili unataka kwenda wapi kama kusoma au vipi na hyo njia utakayotumia kuzamia kumbuka na ninataka kuwambia katika njia zilizokuwa zinatumiwa miaka ya 1990-2010 hazifanyi kazi tena ukizamia kijinga jinga utakwenda jela ukitoka ndege ya asubuhi tu kuja Africa utakuwa ndani yake
 
Back
Top Bottom