Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nimecheka sana ile POST yako ati ULAYA hakufai ilhali wewe ungali umeng'ang'ania huko... wengi wametoka kwa kuja Ulaya kutafuta maisha....

Mkuu wape njia wana nao waje wasake LIFE!!!
Mkuu Lusongo kujiripua kumesha pitwa na wakati wazungu wamesha stuka na ujanja wa mtu mweusi asikwambie mtu nyumbani ni nyumbani anaye kudharau kwao ni Mtumwa tupo nje sisi ni watumwa wa watu weupe asikwambie mtu ukiwa nje hauna uhuru wa aina yoyote unaweza kuuliwa na isiwe kitu chochote kile.
 
Sawa wasaidie basi na wengine wanaotaka kuwa watumwa mkuu....
 
Mkuu Okyoma unayo sema mengi NI kweli Ila hizo roho mbaya zinapandikizwa Na wachache.
Mfano unamsaidia mtu kila kitu akisha pata kazi tu wewe hauna maana Lakini sio wote.
Mkuu mimi nilisaidiwa kwenda kusoma USA.
Kwenye geto yetu tulikuwa Watu 7 tulikuwa tunasaidiana kwa kila kitu Lakini mmoja wetu akaanzisha fitna tuka muaka kati tulivyo maliza mwenyeji wetu akamfumuza mfitini.
Sasa kama unapata mtu kama huyo kweli unaweza kumsaidia mtu mwingine? Lakini huyo mwenyeji wetu bado anasaidia watu mpaka Leo hii Ukiwa Na roho ya kusaidia hauwezi kubadilika Na hao wako wengi tu.
Nashukuru bwana mgogone kwa kuliweka hili sawa lakini kumbuka ni asilimia kumi tu ndio wana moyo wa kusaidia, Mfano ndugu zetu hawa wakenya ni wakabila wakiwa huko nchini kwao, ila wakifika tanzania ni ndugu moja ndio maana huwezi kupata mkenya anatangatanga mitaani akitafuta kazi wanakumbatiana bila kujali tofauti zao wakiwa kwao.
Sisi tukiwa kijijini ,mashuleni, makazini, Vjiweni, mjini ni wanafiki tu tukifika nje tunaota mapembe hatuongei hata lugha yetu, hata mabalozi wetu wanapata shida kuwajua watanzania waliyoko nchi wanazowakilisha isipokuwa mtu anapopata matatizo ndio utamjua kuwa ni mtanzani. tena tuna dharau usiseme.
Nimejaribu kufanya research nikagundua kuwa tumerithi hiyo tabia mbaya kutoka makundi matatu; kwa waarabu 1700(fitina na uchonganishi) tukaja tukarithi tena mjerumani (roho mbaya) ya mkoloni 1800, tukamaliza za wahindi(mnawajua wahindi walivyo na dharau).
chukulia mfano tatizo linatokea tanzania, wandishi wa habari waliyosoma pamoja program moja, module zilezile ila watakavyoreport ni tofauti kabisa, wengine watalalamika wengine watasifia wenye roho ya korosho hawatareport kabisa.
 
Huu ndio muda wa kusahihisha yote usemayo hizo tabia tatu.
It starts with us mkuu

#BlameNone#
#TimeToChangeTz#
 
Huu ndio muda wa kusahihisha yote usemayo hizo tabia tatu.
It starts with us mkuu

#BlameNone#
#TimeToChangeTz#
Hii itakuwa ngumu kwa tanzania labda malaika waje watusaidie imagine leo mkuu wa mkoa anavamia kituo cha habari tena usiku wa manane, waziri anaamua kutetea badala ya jambazi kupigwa chini mtetezi anafukuzwa kazi. nchi hii ya vi-wonder kweli kweli.
 
immagration inchi husika watachaj hela kidogo baada ya kuingia airport yao ????? au hapa hapa bongo kabla ya kuondoka ???? Kuhusu maswali nikisema nimekuja kutembea pia nikaonyesha bank statment yenye salio la kutosha kuna la ziada hapo ???? Naomba mwongozo wako mkuu.
mkuu ni baada ya kuingia airport yao,hapo kwenye pesa ndo mzozo wanaweza wakakurudisha sema kama pesa ipo haina shida unapewa tourist visa yako safi
 
Mkuu Karibu sana Ulaya uje ujionee Mwenyewe usingojee mpaka uambiwe njoo uje ubebe Maboksi na kuwa Mtumwa wa Wazungu.

View attachment 485814
mkuu ni baada ya kuingia airport yao,hapo kwenye pesa ndo mzozo wanaweza wakakurudisha sema kama pesa ipo haina shida unapewa tourist visa yako safi
Hela wanataka uonyesh cash in hand ???? kama nina bank statiment yenye hela ys kutosha na visa kadi ya kutolea watanisumbua ????
 
Nmefuatilia kwa makini huu uzi... . Maoni yangu n kwann tusiende zile nchi za free viza.. nmependa nchi moja inaitwa British virgins island... nime Google iko poa sana... economic n political... kuliko kuhangaika na nchi ngumu kuingia me nashauri twende nchii hii.. afu ni rahis kwenda UK.. Ukishazama UK ni rahis kwenda Ireland.. then nirahis kwenda *Luxembourg* .. hii Nchi n Bora kbsaaa Ulimwenguni.. Luxembourg bonge la Nchi nzur sanaa hii..
 
Wakuu, heshima kwenu na amani iwe nanyi.

Awali ya yote, I sincerely apologize kwa kuchelewa kidogo kuleta mrejesho hapa jamvini. Ni kwa sababu ya changamoto tu fulani fulani that I encountered for the entire week, ila mpaka dakika hii everything is under control.

UPDATE 2:

It has been now a week down the line, tupo tunaendelea na mchakato wa Application under guidance from mkuu izzo. The key facilitator being yule partner wa mkuu Izzo.

Is such key facilitator an 'insider' or a 'middle person'? I myself don't have a clue. My memory draws blank on whether mkuu Izzo did stipulate that.

Deadline for the Application is due 1 April 2017.

So far, briefly that's the latest ground as of today Friday 24 March 2017. Otherwise I will keep you posted whenever an update pops-up, particularly closer to the deadline.

Thanks all for your follow-ups on my case. Special thanks be extended to ndugu izzo for whatever support that he may kindly render to me. Highly appreciated.

I humbly submit.

-Kaveli-
 
Nasikia hii thread ni ya kitapeli

Una uhakika? au ndiyo kukurupuka? Fuatilia uzi huu from page one, imekuwa ikikisitizwa sana kuwa mtu yeyote asitoe hata senti kwa yeyote.

Na sidhani kama mpaka dakika hii kuna yeyote hapa aliyetapeliwa, isipokuwa tu mkuu Shyshii ndiye aliombwa pesa by VISA agents ambao ilionekana ni matapeli.

Tusiwe wepesi wa kuhukumu pasipo uhakika. Tuwe na akiba ya maneno.

-Kaveli-
 
Komaeni kwenu wabongo kuna fursa nyingi tu. Uzi umedumu huu! Kumbe mnadanganyana kwenda usikokua na ndugu! Msilaumu serikali kama wenzenu wanaojirusha miloisti!
 
Back
Top Bottom