Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

MKOA HUU BWANA. SAFARII HII UMEPATA KIONGOZI MKALI KWERI KWERI narudia mkali kweRI kweRI . nakumbuka mdogo wangu mmoja anasema walikuwa na mwalimu mmoja WA NIDHAMU alikuwa anaitwa BOB MIKWARA alikuwa anatoka ofisini kwake anasimama assembly akiwa juu na wanafunzi wake chini anatoa matamko kwa sauti kali sana akitokwa na mate,jasho na mishipa ya kichwa kumsimama. halafu anarudi ofisini kwake anapiga selfie anarushia mtandaoni huku ameweka miguu juu ya meza ndo inakuwa imepita hiyo mpaka Jumatatu ijayo tena.

SIPINGANI NA MAKONDA KUHUSU MAAGIZO YA JANA Dar Es Salaam LAKINI NINA "VIJIWAZO VYANGU KIDOGO":
●Mkuu kasema watu wasiwafollow mashoga (facebook, instagram, tweeter n.k) na adhabu baada wiki itafuata, JE MBONA NYIE MNAGUSANA NAO NA PICHA MNAPIGA NAO? JIKAMATENI KWANZA!!!!!!
●Suala la kukataza uvutaji shisha na sigara uko sahihi mkuu, LAKINI MBONA UNATAFUTA "KIKI" KWENYE MAMBO MADOGO WAKATI NDUGU ZENU WANATESEKA NA MADAWA YA KULEVYA KILA UCHAO? KATI YA SHISHA, SIGARA NA COCAINE/HEROINE KIPI UNADHANI KINATEKETEZA NGUVU KAZI YA TAIFA?
■■Pamoja na nia yako njema chief Makonda hebu anza na mambo makubwa haswa hili la madawa ya kulevya maana inaaminika kuwa hilo ‪#‎HALIGUSIKI‬
: MH MAKONDA:
■Umetenga maeneo ya kuvutia sigara (smoking zones) kama ilivyo ktk miji mingine mfano Nairobi Mombasa n.k?
■Vp suala la usafiri bure kwa walimu kwenye daladala liliishia wapi?
■Ishu ya ombaomba imeishia wapi?
■Madada poa je? waliishia wapi?

ha ha ha... twendeni tu mfollow facebook atakuwa amerushia picha zake nyingine. tusisahau kulike.
 
haya mawazo ya Wadau mbali mbali kuhusiana na Matamko mbali mbali yaliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa DSM.

.SIPINGANI NA MAKONDA KUHUSU MAAGIZO YA JANA Dar Es Salaam LAKINI NINA "VIJIWAZO VYANGU KIDOGO":
●Mkuu kasema watu wasiwafollow mashoga (facebook, instagram, tweeter n.k) na adhabu baada wiki itafuata, JE MBONA NYIE MNAGUSANA NAO NA PICHA MNAPIGA NAO? JIKAMATENI KWANZA!!!!!!
●Suala la kukataza uvutaji shisha na sigara uko sahihi mkuu, LAKINI MBONA UNATAFUTA "KIKI" KWENYE MAMBO MADOGO WAKATI NDUGU ZENU WANATESEKA NA MADAWA YA KULEVYA KILA UCHAO? KATI YA SHISHA, SIGARA NA COCAINE/HEROINE KIPI UNADHANI KINATEKETEZA NGUVU KAZI YA TAIFA?
■■Pamoja na nia yako njema chief Makonda hebu anza na mambo makubwa haswa hili la madawa ya kulevya maana inaaminika kuwa hilo ‪#‎HALIGUSIKI‬
: MH MAKONDA:
■Umetenga maeneo ya kuvutia sigara (smoking zones) kama ilivyo ktk miji mingine mfano Nairobi Mombasa n.k?
■Vp suala la usafiri bure kwa walimu kwenye daladala liliishia wapi?
■Ishu ya ombaomba imeishia wapi?
■Madada poa je?
Wewe chizi ndio haufatilii jinsi yalivyo tekelezwa!
 
Hivi sijaelewa, ni kuwa kapiga marufuku uvutaji wa sigara hadharani au kutokuvuta kabisa?
 
View attachment 362981

mkuu wa mkoa unatakiwa kufuata sheria ya barabara kwa kuwaonyesha mfano wananchi hapo haujafunga mkanda ni kosa kubwa sana kama trafiki akikushika ni sawa na yule mke wa waziri na trafiki aliyerushiwa maneno.Jaribu kuwa mstari wa mbele kuwaonyesha wananchi sio kuvunja sheria.

swissme
Huyo mwenye miwani ni nani hapo?
 
Hivi sijaelewa, ni kuwa kapiga marufuku uvutaji wa sigara hadharani au kutokuvuta kabisa?
Ni kuvuta hadharani akikataza kabisa kuvuta ataua watu maana ile kitu kuacha sio kwa kukurupuka inaenda kwa hatua:D:D:D
 
View attachment 362981

mkuu wa mkoa unatakiwa kufuata sheria ya barabara kwa kuwaonyesha mfano wananchi hapo haujafunga mkanda ni kosa kubwa sana kama trafiki akikushika ni sawa na yule mke wa waziri na trafiki aliyerushiwa maneno.Jaribu kuwa mstari wa mbele kuwaonyesha wananchi sio kuvunja sheria.

swissme

Unajua ni uthubutisho wazi kuwa amevunja sheria nategemea kumfikisha kesho trafik
 
MKOA HUU BWANA. SAFARII HII UMEPATA KIONGOZI MKALI KWERI KWERI narudia mkali kweRI kweRI . nakumbuka mdogo wangu mmoja anasema walikuwa na mwalimu mmoja WA NIDHAMU alikuwa anaitwa BOB MIKWARA alikuwa anatoka ofisini kwake anasimama assembly akiwa juu na wanafunzi wake chini anatoa matamko kwa sauti kali sana akitokwa na mate,jasho na mishipa ya kichwa kumsimama. halafu anarudi ofisini kwake anapiga selfie anarushia mtandaoni huku ameweka miguu juu ya meza ndo inakuwa imepita hiyo mpaka Jumatatu ijayo tena.

SIPINGANI NA MAKONDA KUHUSU MAAGIZO YA JANA Dar Es Salaam LAKINI NINA "VIJIWAZO VYANGU KIDOGO":
●Mkuu kasema watu wasiwafollow mashoga (facebook, instagram, tweeter n.k) na adhabu baada wiki itafuata, JE MBONA NYIE MNAGUSANA NAO NA PICHA MNAPIGA NAO? JIKAMATENI KWANZA!!!!!!
●Suala la kukataza uvutaji shisha na sigara uko sahihi mkuu, LAKINI MBONA UNATAFUTA "KIKI" KWENYE MAMBO MADOGO WAKATI NDUGU ZENU WANATESEKA NA MADAWA YA KULEVYA KILA UCHAO? KATI YA SHISHA, SIGARA NA COCAINE/HEROINE KIPI UNADHANI KINATEKETEZA NGUVU KAZI YA TAIFA?
■■Pamoja na nia yako njema chief Makonda hebu anza na mambo makubwa haswa hili la madawa ya kulevya maana inaaminika kuwa hilo ‪#‎HALIGUSIKI‬
: MH MAKONDA:
■Umetenga maeneo ya kuvutia sigara (smoking zones) kama ilivyo ktk miji mingine mfano Nairobi Mombasa n.k?
■Vp suala la usafiri bure kwa walimu kwenye daladala liliishia wapi?
■Ishu ya ombaomba imeishia wapi?
■Madada poa je? waliishia wapi?

ha ha ha... twendeni tu mfollow facebook atakuwa amerushia picha zake nyingine. tusisahau kulike.

Well written. Viongozi wetu miaka yote ni viroja. Wanatoa matamko bila mafuatiliaji na wao ku-respect wanachosema. Naamini sheria ya nchi ipo above maybe only rais tu.
 
Wakati anatoa tamko nadhani atakuwa amezipiga KITWANGA au LUGUMI kadhaa
 
Ina maana hajui kuwa sigara zinachangia uchumi wa nchi kwa kiasi kikubwa?
 
Mkuu Wa mkoa wa Dar mh Paul Makonda ni miongoni mwa vijana watiifu Wa chama cha mapinduzi ambaye kwa utiifu huo marais kupitia chama hicho wameamua kumlipa fadhila kwannyakati tofauti kwa kumteua kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo wadhifa mkubwa alionao kwa sasa Wa kuwa mkuu Wa mkoa Wa Dar.

Mwanzo kabisa wakati makonda anateuliwa wapo waliotabiri kuwa kijana huyu angefanya mambo makubwa katika wadhifa wake huo kutokana na staili aliyoanza nayo, bila shaka wengi mnakumbuka.

Miongoni mwa mambo aliyokujanayo kama vipaumbele vyake vya kufanyia kazi ni pamoja na Wafanyakazi hewa katika mkoa Wa Dar, uhakiki Wa siraha, kupiga marufuku ombaomba na Madada poa au machangudoa, usafiri Bure kwa walimu na sasa mashoga na wavuta sigara.

kati ya hayo yote niliyoyataja kwa kiasi kikubwa yameishia kuongelewa mdomoni ila utekelezaji wake umekuwa ziro. mfano hili la walimu kusafiri bure sina hakika kama limefanikiwa hata kwa asilimia Moja.kuhusu ombaomba sina hakika baada ya mda uliotolewa kwa ombaomba kuisha kama kweli kwa sasa dar hamna ombaomba kama alivyoahidi. hali kadhalika na mengine yote yaliyoagizwa na makonda.

kwa hali hiyo ukishamuelewa makonda ni mtu laini sana na ndio maana hata matamko anayoyatoa yanabaki katika mdomo ila hakuna utekelezaji wowote maana mengine yanayotolewa yanamzidi umri anayeyatoa.

makonda utaendelea kupiga kelele ila tumeshakuelewa kelele zako hazitusumbui labda zitakusaidia kujionesha kwa bosi wako kuwa nawe ni mtendaji ila kiukweli haukustahili kuwa mkuu Wa mkoa mkubwa kama Dar kwani unapwaya na matamko yako uchwara
 
Sasa wewe na akili yako timamu uanze kuhangaika nae kila siku?
 
Back
Top Bottom