Ushauri: Mama mkwe kaahidi kuniroga, kunifunga jela au kuniua

Ushauri: Mama mkwe kaahidi kuniroga, kunifunga jela au kuniua

Ndio maana mnaambiwa kabla hujaaishi na mtu, jaribu kujua historia kwao, kuna familia nyingine vimeo loh!!!!!
 
kwanza ulio kabla maisha hujayapawa then ndo
< ukaenda kutafuta maisha..

after 6months mke akakufata, it's means ulikuwa bado hujawaza kwenda kumchukua.

< Mkashauriana mrudi mkachukue watoto.. ndo mamamkwe akakataa, coz' aliona bado hujajipanga vizuri, hapo yuko sahihi.

muda ukapita miaka 4 baada maisha mkayapata ukaenda kusalimia na siyo kuchukua watoto,. wazo likaja mkiwa huko ati muondoke na watoto ma mkwe akakataa.. yuko sahihi kwa kuwa mlienda kusalimia na si kuchukua watoto.

USHAURI WANGU

_Rudini town mtapanga wakat mwingne mkachukue watoto..

* kama mama mkwe anatishia kukuloga, kukuua, na mengne mabaya..
-ulioa kwa kumtorosha mwanae,
-uliharibu future ya binti yake
-hukuwa na mpango na mwanae ndo maana hata alikufata town kwa lazima
-una makosa hujayatubia kwa huyu ma mkwe,
-anaona utaiteketeza familia yake
-unaishi na mwanae bila ridhaa yake.

*tafuta wazee mkae kikao na ndgu wote ukabidhiwe mke na watoto kihalali.
 
Miaka 15 si haba katika ndoa, ugomvi huo msingi wake ni kwamba mama mkwe anataka kukugeuza mtaji wa mafanikio yake yeye binafsi. Ndiyo maana karopoka kwamba hujafanikiwa. Busara kubwa akuache wewe na familia yako na maisha ujaliwayo ni yako wewe na familia yako na wala yeye hahusiki kabisa.
 
huyo mkuu kuna matatu,, atakuwa ni mchawi, mgonjwa au uzee unamsumbua..

kosa kubwa ulilolifanya mkuu ni kuacha hao watoto wakae kwake muda mrefu hivyo bila kujua nini kinachoendelea juu yao...
fanya uchunguzi kwanza ujue wanao waliishi vipi hapo wakati haupo.
 
Ebu Ni Pm, Au Nipigie Mimi Kama Mchungaj Kwa Namba 0757856336 au 0673100772.

nataka nikupe maelekezo, kama kweli iyo ipo anaweza kukudhuru kwa sbb yeye ni giza. sasa na wewe usiende kwa waganga utakuwa giza, na wote mkawa giza giza, na giza haliwez kuondoa giza. dawa ya giza ni nuru tu. ucmjibu vibaya atapata sbb nyngne. Mwamini Mungu Anaweza Kukutendea Na Ukapata Watoto
 
Mabigi! Kwa hiyo kwa miaka 4 wanao wametekwa na bibi yao? Sasa wanasoma? Nani anawahudumia?

Kweli as you grow up unakutana na changamoto
 
Ugomvi wetu ni watoto wangu ambao niliondoka nyumbani kwenda Morogoro kutafuta maisha, mke wangu akabaki nyumbani kama miezi miwili akaja kunifuata.

Tumekaa kama miezi 6 akarudi nyumbani kuchukua watoto ambao aliwaacha kwa mama yake mzazi lakini mama akamnyima watoto na aliporudi tukajadiliana na kupata jibu kuwa niende. Mimi nikaondoka, lakini nilikutana na matusi mazito. Kwa hekima sikumjibu chochote nikaaga na kuondoka.

Ikapita miaka minne bila kuulizana chochote! Jambo la kushangaza mwanzo wa mwezi wa 8 tulikuja wote kwa ajili ya kusalimia na kuomba watoto lakini katamka wazi mbele ya mke wangu kuwa hanipendi na hataki nikanyage kwake niwe na mwanae.
[/QUOTE]

Kitendo cha wewe kushindwa kuchukua watoto wako ni udhaifu mkubwa tayari. Hilo halikuwa suala la kuomba ushauri popote. Ulipaswa kuwachukua kwa nguvu. Jukumu la kulea watoto na la wazazi.

Ukimwacha mkeo wakati mnapendana kwa sababu tu mama mkwe hataki litakuwa kosa kubwa sana kwako. Unamhukumu mwingine kwa makosa ya mtu mwingine.
 
kwanza ulio kabla maisha hujayapawa then ndo
< ukaenda kutafuta maisha..

after 6months mke akakufata, it's means ulikuwa bado hujawaza kwenda kumchukua.

< Mkashauriana mrudi mkachukue watoto.. ndo mamamkwe akakataa, coz' aliona bado hujajipanga vizuri, hapo yuko sahihi.

muda ukapita miaka 4 baada maisha mkayapata ukaenda kusalimia na siyo kuchukua watoto,. wazo likaja mkiwa huko ati muondoke na watoto ma mkwe akakataa.. yuko sahihi kwa kuwa mlienda kusalimia na si kuchukua watoto.

USHAURI WANGU

_Rudini town mtapanga wakat mwingne mkachukue watoto..

* kama mama mkwe anatishia kukuloga, kukuua, na mengne mabaya..
-ulioa kwa kumtorosha mwanae,
-uliharibu future ya binti yake
-hukuwa na mpango na mwanae ndo maana hata alikufata town kwa lazima
-una makosa hujayatubia kwa huyu ma mkwe,
-anaona utaiteketeza familia yake
-unaishi na mwanae bila ridhaa yake.

*tafuta wazee mkae kikao na ndgu wote ukabidhiwe mke na watoto kihalali.

ushaur mzur
 
Miaka 15 si haba katika ndoa, ugomvi huo msingi wake ni kwamba mama mkwe anataka kukugeuza mtaji wa mafanikio yake yeye binafsi. Ndiyo maana karopoka kwamba hujafanikiwa. Busara kubwa akuache wewe na familia yako na maisha ujaliwayo ni yako wewe na familia yako na wala yeye hahusiki kabisa.

ni kweli mkuu kwani kuombwa laki 2 nijambo la kawaida na nimekuwa nakataa kutoa hapo ndo neno masikini likaanza
 
nikweli mkuu sasa nifanyeje maana natumia muda mwingi kumpigia simu kubembeleza asijidhuru

Kaa kimya endelea na maisha, wakina mama wengine wana mbinu za kishetani sana, unaweza kuta wanampango na mwanae wew unaangaika.

Kaa kimya, maana wanatishia kujamba wakati wanaumwa tumbo la kuhara.
 
huyo mkuu kuna matatu,, atakuwa ni mchawi, mgonjwa au uzee unamsumbua..

kosa kubwa ulilolifanya mkuu ni kuacha hao watoto wakae kwake muda mrefu hivyo bila kujua nini kinachoendelea juu yao...
fanya uchunguzi kwanza ujue wanao waliishi vipi hapo wakati haupo.

ni kweli mkuu ila wakati naondoka niliwacha kwangu jambo ka kushangaza ndani ya miez miwili aliwachuka na kuwapeleka kanisani na kuwabatiza huku akijua wazi kuwa mama yao alibadili dini na sio mkristo
 
Usiwachukue hao watoto bila kuhusisha wazee kadhaa na mamlaka na ikiwezekana,kati ya hao wazee, wawepo ndugu zake maana anaweza hata kuwafanyia kitu wadhurike watu waseme ni wewe.
 
pole kaka angu hya ni maisha tu chamsingi chukua watoto wako kwa sababu ile ni damu yako na kama mke anakupenda chapeni lapa,kama anataka wakwe matajiri akae namwanae

ahsante mmekuwa na ushauri mzur na mmenijengea ujasili
 
Back
Top Bottom