Ushauri: Mama mkwe kaahidi kuniroga, kunifunga jela au kuniua

Ushauri: Mama mkwe kaahidi kuniroga, kunifunga jela au kuniua

Usimuache mkeo wewe unamuogopa mama mkwewake mwanamke mzima kweli na kendezako???
 
watoto wanahitaji malezi ya wazazi na sio ya bibi hapo wewe chukua wanao af mengine yatafuata....kuhusu vitisho hivyo neno 'USIOGOPE' limeandikwa mara 365 katika biblia means kila iitwapo leo hutakiwi kuogopa

ahsante kwa ushauri wako ndg yangu
 
ndugu matishio ya vitisho vya uhai kwanza vinaripotiwa polisi.

sema huyo bi msdashi nahisi ni mwanga. au huenda tatizo lipo kwako pia

hapana mkuu sina tatizo lolote isipokuwa siwezi kuombwa laki 2 nimpe wakati mimi nina mjukumu
 
ndugu matishio ya vitisho vya uhai kwanza vinaripotiwa polisi.

sema huyo bi msdashi nahisi ni mwanga. au huenda tatizo lipo kwako pia

hapana mkuu sina tatizo lolote isipokuwa siwezi kuombwa laki 2 nimpe wakati mimi nina majukumu isitoshe yeye ameajiriwa na ana mshahara
 
Usiwachukue hao watoto bila kuhusisha wazee kadhaa na mamlaka na ikiwezekana,kati ya hao wazee, wawepo ndugu zake maana anaweza hata kuwafanyia kitu wadhurike watu waseme ni wewe.

mkuu nataka niende polisi kwenye dawati la jinsia labda nitapata msaada maana mambo yanazidi kuwa mazito
 
mkuu nataka niende polisi kwenye dawati la jinsia labda nitapata msaada maana mambo yanazidi kuwa mazito

Fanya hivyo, watu kama hao huwa hawako sawa, unaweza kupewa kesi ya kudhalilisha watoto wako wa kuzaa ili custody usiipate au anaweza hata kuwatrain wakusingizie kitu kikubwa ambacho hujawahi kuota ukaishia jela kabisa ili abaki na binti yake na wajukuu.
 
mkuu kusoma huwezi na picha pia huoni?!!! ukimwachia watoto unatumaga matumizi au kununua vyakula hivyo hii nayo inampunguzia makali ya maisha , sasa wewe unachukua mradi wake ili iweje halafu akuchekee!! ebooo
 
Pole mr, ni changamoto tuu kwenye maisha ambazo hazikosekaniki kwa mwanadamu ila kila mtu na changamoto yake, kubwa hapo tulieni kwanza, tafuteni suluhu kwa viongozi dini au wa serikali, yapo mabaraza ya kata ya usuluhishi sidhani kama mtashindwa kuafikiana, zingatia sana neno linaumba,kutaka kujiua kwa mkeo si neno jema,ni vema aombe toba pamoja nawe na alifute kabla halijatimia. Mungu awatieni nguvu mkayamalize haya mkibakiwa na amani na furaha ya moyo.
 
Amsha mapema mkuu,ucje kurogwa ukashindwa kupiga kura
 
mkuu mimi mwanachama wa chadema tangu mwaka 1994

Kumpigia kura huhitaji kua mwanachama wa chadema tu, mana kama ndio hivyo dr ni mwanachama wa chadema ila hatampigia kura Lowassa. Mimi sina chama cha siasa ila kura yangu ni kwa mtakatifu Lowassa.
 
Miaka minne hujauliza chochote kuhusu wanao r u serious?
 
Pole mr, ni changamoto tuu kwenye maisha ambazo hazikosekaniki kwa mwanadamu ila kila mtu na changamoto yake, kubwa hapo tulieni kwanza, tafuteni suluhu kwa viongozi dini au wa serikali, yapo mabaraza ya kata ya usuluhishi sidhani kama mtashindwa kuafikiana, zingatia sana neno linaumba,kutaka kujiua kwa mkeo si neno jema,ni vema aombe toba pamoja nawe na alifute kabla halijatimia. Mungu awatieni nguvu mkayamalize haya mkibakiwa na amani na furaha ya moyo.

asante kwa ushaur ulio tukuka
 
Back
Top Bottom