Yah na km mtu ana roho nyepesi bas humu aingie kwa week mara moja otherwise unaweza chukua akili za baadhi ya vichaa humu km ndo ushaur wa kufuata kwenye maisha ykoWengine wapo ili kupata umaalufu tu,kiukweli ukifwatilia kila kinachoandikwa humu alafu ukakiweka akilini utapotea sana tu.
In life the weaker are oppressing the stronger, kama stronger akiwa hajitambui!Asante Sana kwa ushauri. Kiukweli Hata Mimi nachukizwa Sana na tabia hizi za kuanzisha nyuzi zenye kukashifu wanwake,wakati bila sisi hawajiiti wanaume,na kwa msingi mwingine wa kumkashifu na kumdharau mwanamke Ndio msingi huo Huo ambao unawafanya na wao wadharauliane pale tu wanapojua wanaume wenzao hushikishwa ukuta.
So,tuwapuuzie wakati tukijua wanaponda lakini wanakubali Sana uwepo wetu.
HahahahaYah na km mtu ana roho nyepesi bas humu aingie kwa week mara moja otherwise unaweza chukua akili za baadhi ya vichaa humu km ndo ushaur wa kufuata kwenye maisha yko
Na mtoa mada hana...ingawa anasema haimuumi ila kitendo cha kupoteza mda kuandika uzi huu ni wazi kuna namna inamuumaView attachment 509693
Hahahaha humu JF unatakiwa uwe na thick skin! We eat people ! Hahahaha View attachment 509693
Umeongea vema kabisa dear hasa namba 2 ndio ya kuizingatia hasaaaaaa,
Nami hua nafanya hivyo,
ila siku moja moja kuwashtua si mbaya wanajisahau hawaaa.
Ni kweli ila zilizo nyingi ni stories za vijiweni tu!
Sasa mtaumia mangapi?
Sawa nakunaliana na suluhisho lenu kutofungua thread zinazowadhalilisha!
Labda hao wanaoanzisha wataacha wakiona hakuna wachangiaji
In life the weaker are oppressing the stronger, kama stronger akiwa hajitambui!
Ohh jamani! Ni kuwa dharau hao wanaume wa design hiyo na ku move on!Na mtoa mada hana...ingawa anasema haimuumi ila kitendo cha kupoteza mda kuandika uzi huu ni wazi kuna namna inamuuma
AMUN RANimekukubali.
OkHuu ni ulimwengu wa nadharia(virtual world), watu wataongea tu coz we're interacting virtually, hata huko mbelez kama ni kudhalilishwa basi watu wanadhalilishwa sana.
Wanaume wasiposema (hata kwa kudhalilisha tu), wanawake watajifunza wapi, vice versa pia, hatuwezi kujifunza kama hatukosoani.
Kukosoa kunakuja kwa aina tofauti. Wengine watakutusi, kukebehi na kudhalilisha..you just take what's right.
My two cents!!