ni ngumu
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 4,292
- 7,207
Yah na km mtu ana roho nyepesi bas humu aingie kwa week mara moja otherwise unaweza chukua akili za baadhi ya vichaa humu km ndo ushaur wa kufuata kwenye maisha ykoWengine wapo ili kupata umaalufu tu,kiukweli ukifwatilia kila kinachoandikwa humu alafu ukakiweka akilini utapotea sana tu.