agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Nashangaaa hajui kama wengine wameumbiwa kusindikiza tuWewe una amini kila ke ata olewa au me ata owa?
Nashangaaa hajui kama wengine wameumbiwa kusindikiza tuWewe una amini kila ke ata olewa au me ata owa?
Tangu na tangu ndoa haziwi kwa wote ipo hivyo si kwa bahati mbaya bali mipango ya Muumba hujawai ona ke anatolewa kwenye dangulo anaolewa?Ndiyo mategemeo ya kila mmoja wetu, mengine huwa ni matokeo tena fault results.
Tangu leo mimi ni rafiki wa wadada wote wa jf, naanza MISS NATAFUTA.Kweli kabisa huwa tunaumia sana ila basi tu hawajui.

Utapotea usiamini hivyo nyuma ya kibod usishangae wapondao ndo wenye heshima zaidi kwenye uhalisiaSi suala la kuongea tu, kimtokacho mtu ndio kilichopo moyoni. So wanavyoongea mengi ni uhalisia wao.
True but... Mwisho wa siku decision are upon you..Tangu na tangu ndoa haziwi kwa wote ipo hivyo si kwa bahati mbaya bali mipango ya Muumba hujawai ona ke anatolewa kwenye dangulo anaolewa?
Unapenda sana assumptions etii..Utapotea usiamini hivyo nyuma ya kibod usishangae wapondao ndo wenye heshima zaidi kwenye uhalisia

Yusuuu na mariaaTangu leo mimi ni rafiki wa wadada wote wa jf, naanza MISS NATAFUTA.
Poleni kwa yeyote mdada niliye muumiza..!![]()
![]()
![]()
Apo ukimuuliza kwenu wote wameolewa atasema ndio kwa vile hamna amjuayeNashangaaa hajui kama wengine wameumbiwa kusindikiza tu
Kweli Yusu nani villeeee...Yusuuu na mariaa
Wengine wapo ili kupata umaalufu tu,kiukweli ukifwatilia kila kinachoandikwa humu alafu ukakiweka akilini utapotea sana tu.Hahaha kumbe yanakuuma unapokuwa sensitive people usikurupukie jamii foram asubuh, mchana na jioni...mambo mengi yanayoelezwa kwenye social media yana negative impact kwenye ubongo wako weather you like it or not..punguza kuingia humu...humu utafundishwa mambo mengi ya uongo ambyo kwenye jamii zetu sio kweli...mifano 1.mwanamke bila hela hawezi kukupenda,2.mwanamke bila matako makubwa havutii.3.mwanaume mwenye dudu kubwa ndo deal.4.mwanaume kibamia hapendwi.5.wanandoa lzm wasalitiane...na mengine mengi mengi ambyo kwenye maisha ya kawaida its bull shit...yanapewa promo humu tu
Hivo bas tunaandaa kundi kubwa sn la vijana yaan wanawake wembamba wasiojiamini,wanaume wenye maumbile madogo wasiojiamini,wanandoa wanaoingia kwenye ndoa wakijua lzm wasalitiwe,waongeza madudu,wanaume wanaodhan ukishaweka pesa ya matumizi bas ndoa inadumu hakuna kusalitiana and so on...take care
Pole sana itakua hamjatulea vizuri nyie ndo walezi wetu mjueAsnte mamii, nimekuelewa huwa nachukia sana wanavyotuponda, nacc ndo mama zao, dada zao, na wake zao
Yesu na mariaKweli Yusu nani villeeee...