Utapotea usiamini hivyo nyuma ya kibod usishangae wapondao ndo wenye heshima zaidi kwenye uhalisia
Jando humuimarisha mtoto wa kiume kujijua na kuwa na heshima kwa wazazi na wakubwa zake, bila shaka kolo wako alikufundisha hayaNa mimi naruhusiwa kuchangia au ....
Menichekesha sana
humu kila mtu anatumia id fake na hakuna mpango wa kujuana na mtu yeyote. ila ukianzisha mada hapa kuna wengine wanafuka volkano ya oldonyoo lengai
embu mjirekebishe bwana kama mtu katoa mada ya kujirekebisha, jirekebisheni kimya kimya na mshukurru mmeambiwa ukweli
leo wakitkea wakakuambia wewe mzuri, una chura, sijui mnato kwwa nini msikasirike kwa nini mnasifiwa na mkaanzisha mada kwa nini mnatusifia sana na sisi
mwisho wa siku mtasema tunawataka pyeeee zenu mbadilike muache drama za bongo muvi
anyway kumbe inawahusu wanawake ila msitubague tunaingia popote pale
alahhhhh mxiuuuuuuu
SawaStory not balanced. Ni vema ukawaonya sana wamama vile wanavyowatukana wanaume kuwa ni mario, sijui vibamia wakikohoa tu kinachomoka nk. Hiyo kitu umegusia kidoooogo sana.
Hata hivyo nakuunga mkono tuwaheshimu wamama na maumbile yao, tusitukane uumbaji. The same should apply to women as against men
Ni kweli ila zilizo nyingi ni stories za vijiweni tu!Si suala la kuongea tu, kimtokacho mtu ndio kilichopo moyoni. So wanavyoongea mengi ni uhalisia wao.
Hakuna kitu sensitive kinachoniuma jf,nilichofanya tu ni kuongea na wanawake wenzanguHahaha kumbe yanakuuma unapokuwa sensitive people usikurupukie jamii foram asubuh, mchana na jioni...mambo mengi yanayoelezwa kwenye social media yana negative impact kwenye ubongo wako weather you like it or not..punguza kuingia humu...humu utafundishwa mambo mengi ya uongo ambyo kwenye jamii zetu sio kweli...mifano 1.mwanamke bila hela hawezi kukupenda,2.mwanamke bila matako makubwa havutii.3.mwanaume mwenye dudu kubwa ndo deal.4.mwanaume kibamia hapendwi.5.wanandoa lzm wasalitiane...na mengine mengi mengi ambyo kwenye maisha ya kawaida its bull shit...yanapewa promo humu tu
Hivo bas tunaandaa kundi kubwa sn la vijana yaan wanawake wembamba wasiojiamini,wanaume wenye maumbile madogo wasiojiamini,wanandoa wanaoingia kwenye ndoa wakijua lzm wasalitiwe,waongeza madudu,wanaume wanaodhan ukishaweka pesa ya matumizi bas ndoa inadumu hakuna kusalitiana and so on...take care
Jaribu kuongea na wanaume wenzio,Mimi naongea na wanawake wenzanguApo ukimuuliza kwenu wote wameolewa atasema ndio kwa vile hamna amjuaye
NA HIVYO NDIVYO ILIVYO HUMU.
YANI MABAYA YASISEMWE NA YAPO
HIVI KWA NINI DAWA ZA KUONGEZA NGUVU NA DUDU ZIMEKUA DILI
tuambiane tu njia za kuambiana itegemee na mhusika mwenyewe madhali hatujuani sawa tu
Unaokota zuri baya fyonyaaa hakuoni mtu au sio?Hakuna sababu ya kulumbana na mtu usiyemjua na la zaidi siyo lazima ku comment kila uzi....
Mie huwa nasoma nyuzi nyingii sana nikiona Vipi siweki hata nukta, napita tuu.. Na mtu akiniudhi huwa sina muda wa kushindana nae nakaa kimya.. Atajiona yeye ndo mjinga!!!!
Yaani ni simple saanaUnaokota zuri baya fyonyaaa hakuoni mtu au sio?
Kwa hiyo hapa hawaoni au unamaanisha nifute omment zangu?Jaribu kuongea na wanaume wenzio,Mimi naongea na wanawake wenzangu
Jando humuimarisha mtoto wa kiume kujijua na kuwa na heshima kwa wazazi na wakubwa zake, bila shaka kolo wako alikufundisha haya
Halafu wengi waanzisha uzi za namna hiyo ni vivulana vilivyotahiriwa hospitali maskini.
Malezi duni, hahaha nimelipenda hili neno.
Hahahaha humu JF unatakiwa uwe na thick skin! We eat people ! HahahahaHahaha kumbe yanakuuma unapokuwa sensitive people usikurupukie jamii foram asubuh, mchana na jioni...mambo mengi yanayoelezwa kwenye social media yana negative impact kwenye ubongo wako weather you like it or not..punguza kuingia humu...humu utafundishwa mambo mengi ya uongo ambyo kwenye jamii zetu sio kweli...mifano 1.mwanamke bila hela hawezi kukupenda,2.mwanamke bila matako makubwa havutii.3.mwanaume mwenye dudu kubwa ndo deal.4.mwanaume kibamia hapendwi.5.wanandoa lzm wasalitiane...na mengine mengi mengi ambyo kwenye maisha ya kawaida its bull shit...yanapewa promo humu tu
Hivo bas tunaandaa kundi kubwa sn la vijana yaan wanawake wembamba wasiojiamini,wanaume wenye maumbile madogo wasiojiamini,wanandoa wanaoingia kwenye ndoa wakijua lzm wasalitiwe,waongeza madudu,wanaume wanaodhan ukishaweka pesa ya matumizi bas ndoa inadumu hakuna kusalitiana and so on...take care