Ushauri kwa wanawake wenzangu wa JF

Ushauri kwa wanawake wenzangu wa JF

Sawa nadhani waanzishaji wa thread wamepata ujumbe ni kitu sasa cha kutekeleza, ila don't take everything frm jf chukua mazuri tu, na ukiona thread inakuchefua fuata ushauri wa dada hapo, ni ushauri mzuri sana. Maana kwenye Ile thread Kuna baadhi ya wanawake wametukana matusi mazito ya nguoni.
Thread gani hiyo!!

Hata na wao wana nyongo, mlitaka muwatusi then wawashangilie?
 
Hahaha...kwamba sikuhizi mtu kutahiriwa hospitalini ni udhaifu mkubwa sana sio?

Btw, namshukuru Mungu mimi nilitahiriwa na kupitia JANDO haswaa ambayo naona ina umuhimu sanaa ndio maana kwangu mimi nilifunzwa kuwa Wanawake ni watu wa muhimu sana na ni mama zetu.

Kumtukana mwanamke unayemlala baada ya kumlala ni kujidhalilisha na kuwadhalilisha hadi "mama zetu" na ni Ulayoni huo.

Ila nahisi wengi huku huwa hawaandiki wakiwa serious.
Safi sana, umeona sasa umuhimu wa Jando???

siku hizi vitoto vinatahiriwa vikiwa vina mwezi mmoja,

hebu niambie mafunzo atapewa vipi,
lakini jando wanapelekwa wakiwa na akili na ufahamu wao.

Hata kwenye mafunzo ya ndoa utaona mwanamke ndio anafunzwa sana jinsi ya kuishi na mume kuliko mwanaume kuambiwa jinsi ya kuishi na mke wakati wote wanategemeana, hili ni tatizo.

Kuhusu watu kuandika na hawako serious, hapo inaweza kua sawa na hata anayejibu pia anaweza asiwe serious.
 
Kama nimepangiwa kuwa mmoja Wa wanandoa hata nikifika miaka 70 nitaolewa ila kama imepangw tofauti hata uwe mwema kama malaika utakutana na kula na kukimbia tu.

Haya mwaka huu hauishi, naja kulipa mahari kabisa.
 
Siku za karibuni kumeibuka thread nyingi sana zenye aidha kuponda au kukashifu wanawake, ninachoweza kusema ni kwamba hazinifurahishi lakini hazinifanyi nichukie maana najua ni mapungufu yaliyotokana na makuzi Duni ya baadhi ya wanaume ambao wao hudhani kumuumiza na kumfadhaisha mwanamke ndio furaha pekee waliyoibakisha. Sipingi kua hata sisi wanawake baadhi yetu tumekua tukiongea vibaya juu ya wanaume ila ni ukweli pia viungo vyetu vya mwili vimepunguzwa thamani kubwa humu JF kwa maana haipiti siku bila ya kuzungumziwa kua vinanuka,vikubwa kama bwawa,vichafun.k na kila avizungumziaye hutoa reference ya mpenzi/wapenzi wake
Wanawake hatukatai ushauri, tunaomba kama kuna ulazima wa kuvingumzia basi mnapovizungumzia mvizungumzie katika namna ya ushauri ili sasa mtu mwenye hali ya kufanana na hiyo au vyovyote vile apate faraja na maana nzima ya MMU na si kejeli, matusi na kushutumiwa, hapo awali niliamini ndani ya MMU kuna Mpenzi,Mahusiano na urafiki ambavyo huzaa upendo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naiona MMU ya migogoro na ukosefu wa amani ya moyo miongoni mwa wafuatiliaji. Hakika hili si jambo zuri
************ USHAURI WANGU********
1. Wakina mama wenzangu na akina Dada wote wa JF nawashauri tuwe wavumilivu maana Mwanamke ni jalala kila jambo baya hutupiwa yeye,sisi ni ngazi tunatumika kuwaweka wanaume juu huku sisi tukisalia pale pale na kwa bahati mbaya wakifika juu uwezekano wa kukumbuka kuipandisha ngazi pia iliyomfikisha hapo ni finyu sana, zaidi zaidi ataitia teke ili wengine wasipande.
2.Tuache kubishana nao, kadri tunavyojibishana na watoa thread zinazotuweka katika hali ya kudharirika ndivyo tunavyozidi kuchochea kuni za kibuli chao, hivyo ni vyema sasa tukaacha kuchangia Uzi wowote wa aina hiyo , kumbuka " jibu la mjinga ni kimya ". Naamini tukikaa kimya hawatapata tension yoyote ya kurumbana na Ku attack some girls ambao wanaonyesha kuto kukubaliana na mtoa post
3.Nawasukuru sana wanaume wote na nawasisitiza kina mama wenzangu tuzidi kuwaombea, tuwaombee hebu fikiri kizazi tulicho nacho kipo hivi je kijacho kitakuaje? Ni muda sasa umefika wa kukaza mikanda na kuiarisha malezi ya watoto wetu, maana bila shaka hawa wachache hawa wanasadifu malezi Duni waliyoyapata katika ukuaji wao na kifikia hatua kuanika kiungo cha mwanamke kama waanikavyo nguo juu ya kwamba.
Wa Allaahu A’alam.

Hi hi hi hi ha ha ha
 
Siku za karibuni kumeibuka thread nyingi sana zenye aidha kuponda au kukashifu wanawake, ninachoweza kusema ni kwamba hazinifurahishi lakini hazinifanyi nichukie maana najua ni mapungufu yaliyotokana na makuzi Duni ya baadhi ya wanaume ambao wao hudhani kumuumiza na kumfadhaisha mwanamke ndio furaha pekee waliyoibakisha. Sipingi kua hata sisi wanawake baadhi yetu tumekua tukiongea vibaya juu ya wanaume ila ni ukweli pia viungo vyetu vya mwili vimepunguzwa thamani kubwa humu JF kwa maana haipiti siku bila ya kuzungumziwa kua vinanuka,vikubwa kama bwawa,vichafu n.k na kila avizungumziaye hutoa reference ya mpenzi/wapenzi wake

Uko vizuri
 
LadyAJ Do your things. Achana nao.......

Suala ni kwamba tupende kujifunza yanayostahili, mizaha, utani, vichekesho and the like vipo sana humu. We are here to socialize, so acha kila mtu amwagike awezavyo maana wengine humu JF ndio sehemu ya kupunguzia stress(mkazo).

Pia hatuwezi kuwa na mawazo sawa sababu kila mtu anatoka anakokujua na amelelewa anavyojijua isitoshe kwa sehemu kubwa humu watu hawako halisi.
 
Siku za karibuni kumeibuka thread nyingi sana zenye aidha kuponda au kukashifu wanawake, ninachoweza kusema ni kwamba hazinifurahishi lakini hazinifanyi nichukie maana najua ni mapungufu yaliyotokana na makuzi Duni ya baadhi ya wanaume ambao wao hudhani kumuumiza na kumfadhaisha mwanamke ndio furaha pekee waliyoibakisha. Sipingi kua hata sisi wanawake baadhi yetu tumekua tukiongea vibaya juu ya wanaume ila ni ukweli pia viungo vyetu vya mwili vimepunguzwa thamani kubwa humu JF kwa maana haipiti siku bila ya kuzungumziwa kua vinanuka,vikubwa kama bwawa,vichafu n.k na kila avizungumziaye hutoa reference ya mpenzi/wapenzi wake
Wanawake hatukatai ushauri, tunaomba kama kuna ulazima wa kuvingumzia basi mnapovizungumzia mvizungumzie katika namna ya ushauri ili sasa mtu mwenye hali ya kufanana na hiyo au vyovyote vile apate faraja na maana nzima ya MMU na si kejeli, matusi na kushutumiwa, hapo awali niliamini ndani ya MMU kuna Mpenzi,Mahusiano na urafiki ambavyo huzaa upendo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naiona MMU ya migogoro na ukosefu wa amani ya moyo miongoni mwa wafuatiliaji. Hakika hili si jambo zuri
************ USHAURI WANGU********
1. Wakina mama wenzangu na akina Dada wote wa JF nawashauri tuwe wavumilivu maana Mwanamke ni jalala kila jambo baya hutupiwa yeye,sisi ni ngazi tunatumika kuwaweka wanaume juu huku sisi tukisalia pale pale na kwa bahati mbaya wakifika juu uwezekano wa kukumbuka kuipandisha ngazi pia iliyomfikisha hapo ni finyu sana, zaidi zaidi ataitia teke ili wengine wasipande.
2.Tuache kubishana nao, kadri tunavyojibishana na watoa thread zinazotuweka katika hali ya kudharirika ndivyo tunavyozidi kuchochea kuni za kibuli chao, hivyo ni vyema sasa tukaacha kuchangia Uzi wowote wa aina hiyo , kumbuka " jibu la mjinga ni kimya ". Naamini tukikaa kimya hawatapata tension yoyote ya kurumbana na Ku attack some girls ambao wanaonyesha kuto kukubaliana na mtoa post
3.Nawasukuru sana wanaume wote na nawasisitiza kina mama wenzangu tuzidi kuwaombea, tuwaombee hebu fikiri kizazi tulicho nacho kipo hivi je kijacho kitakuaje? Ni muda sasa umefika wa kukaza mikanda na kuiarisha malezi ya watoto wetu, maana bila shaka hawa wachache hawa wanasadifu malezi Duni waliyoyapata katika ukuaji wao na kifikia hatua kuanika kiungo cha mwanamke kama waanikavyo nguo juu ya kwamba.
Wa Allaahu A’alam.
Umesema ukweli dadaangu. Kuna moja hiyo imeanzishwa juzi juzi tu eti "kwann wanawake wakishikwa uchungu hawaoni aibu kuvua nguo". Mtu mzima na akili zako unaanzisha uzi kama huu ili iweje kama sio udhalilishaji? Kama nia yenu huwa ni wanawake wajirekebishe hapo sasa ajirekebishe vipi? Aingie leba ajifungue huku akiwa kavaa nguo akiua hicho kiumbe anachohangaikia kukileta duniani? Haya kama ni utani utani gani wa aina hii unaokebehi kazi ya Mungu? Yaani kwenye matani yooote mtu anaona huo ndo utani wa kumtania mwanamke? Mnajua anakuwa anapitia hali gani kipindi hicho? Wanaume jirekebisheni mlipewa akili na busara ili mtuongoze sio mtudhalilishe na kutukebehi.
 
Abe
Kumbee ehhhh

Sasa unajiona binti mzuri a.k.a binti msimamo usiyeyumbishwa wakati unatembea na mavi tumboni. Ni aibu kubishana na mwanaume ambaye humjui nitakuvua nguo zote.

Jieshimu we shemale (whatever) usijione mjanja kunitukana.

kwani nilikuomba ukigawe, si umekigawa kwa raha zako. nilikuambie ukakitupe chooni kinaliwa na funza. usinizoee nyau wewe...

kamuambie mume wako aliyekuoa wewe malaya mstaafu akubembeleza. unatumia id fake alafu unaniletea upumbavu we kirusi wa kihindi. mxxiuuuu zako

kwendraaa ukakiuze maana huna tofauti na kinyesi maana vingine vinafanywa mbolea, unapata mazao unaishi wewe je ata kwa kachumbari hufai mxiuuuu
Eeee, naona umepewa life ban
 
Jipe matumaini, ujichekeshe kupunguzza stress

nimekudharau na nimekutemea mate ptyuuuuuuu uozo wewe.

utakuwa na ebola wewe wakakuweke ICU hufai kuwekwa kwa watu utawaambukiza ugonjwa. unafaa ukae na maroboti wewe.

we mwanamke gani utafikiri ulitolewa chooni ukiwa na funza kwenye ubongo. jisikie aibu wewe gorilla.

eti uanaume umevamiwa mxiuuuu zako pika, fua, deki na cha muhimu mmeo akupande akupe na gorno kissha akutupe kule kama kondomu
Huyu nae mwanaume, Eee Mungu baba okoa hiki kizazi kinacho elekea kutoweka duniani.
 
Back
Top Bottom