Ushauri kwa wanawake wenzangu wa JF

Ushauri kwa wanawake wenzangu wa JF

Jipe matumaini, ujichekeshe kupunguzza stress

nimekudharau na nimekutemea mate ptyuuuuuuu uozo wewe.

utakuwa na ebola wewe wakakuweke ICU hufai kuwekwa kwa watu utawaambukiza ugonjwa. unafaa ukae na maroboti wewe.

we mwanamke gani utafikiri ulitolewa chooni ukiwa na funza kwenye ubongo. jisikie aibu wewe gorilla.

eti uanaume umevamiwa mxiuuuu zako pika, fua, deki na cha muhimu mmeo akupande akupe na gorno kissha akutupe kule kama kondomu
eeh eeh! Kazi ipo
 
Ingekuwa in real life sio maombi tu, bali na viboko ingebidi vihusike.
Mungu asaidie tu hiki kizazi, vitoto vinaropoka utafikiri vilizaliwa stand!!!
M/Mungu atawaadhibu kwa namna yake, maana kila awazalo mja Allah amemuandikia
 
Kama mie yaniuma basi bila shaka hata wewe yakuuma shogangu maana nimewaandikia nyie Mwali wangu

Unajua wanaume wengi wanaoponda madem humu jf walishaumizwaga na wanawake kwenye mahusiano yaliyopita so frustration zao wanazihamishia humu, hata wanawake wanao-support kuchuna wanaume humu jf nao pia walishaumizwaga na wanaume for eg MTU kama miss natafuta ukiangalia comments zake it shows ana hasira na wanaume, so it goes both ways LadyAJ
 
Hii research uliifanya ln?
 
Siku za karibuni kumeibuka thread nyingi sana zenye aidha kuponda au kukashifu wanawake, ninachoweza kusema ni kwamba hazinifurahishi lakini hazinifanyi nichukie maana najua ni mapungufu yaliyotokana na makuzi Duni ya baadhi ya wanaume ambao wao hudhani kumuumiza na kumfadhaisha mwanamke ndio furaha pekee waliyoibakisha. Sipingi kua hata sisi wanawake baadhi yetu tumekua tukiongea vibaya juu ya wanaume ila ni ukweli pia viungo vyetu vya mwili vimepunguzwa thamani kubwa humu JF kwa maana haipiti siku bila ya kuzungumziwa kua vinanuka,vikubwa kama bwawa,vichafu n.k na kila avizungumziaye hutoa reference ya mpenzi/wapenzi wake
Wanawake hatukatai ushauri, tunaomba kama kuna ulazima wa kuvingumzia basi mnapovizungumzia mvizungumzie katika namna ya ushauri ili sasa mtu mwenye hali ya kufanana na hiyo au vyovyote vile apate faraja na maana nzima ya MMU na si kejeli, matusi na kushutumiwa, hapo awali niliamini ndani ya MMU kuna Mpenzi,Mahusiano na urafiki ambavyo huzaa upendo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naiona MMU ya migogoro na ukosefu wa amani ya moyo miongoni mwa wafuatiliaji. Hakika hili si jambo zuri
************ USHAURI WANGU********
1. Wakina mama wenzangu na akina Dada wote wa JF nawashauri tuwe wavumilivu maana Mwanamke ni jalala kila jambo baya hutupiwa yeye,sisi ni ngazi tunatumika kuwaweka wanaume juu huku sisi tukisalia pale pale na kwa bahati mbaya wakifika juu uwezekano wa kukumbuka kuipandisha ngazi pia iliyomfikisha hapo ni finyu sana, zaidi zaidi ataitia teke ili wengine wasipande.
2.Tuache kubishana nao, kadri tunavyojibishana na watoa thread zinazotuweka katika hali ya kudharirika ndivyo tunavyozidi kuchochea kuni za kibuli chao, hivyo ni vyema sasa tukaacha kuchangia Uzi wowote wa aina hiyo , kumbuka " jibu la mjinga ni kimya ". Naamini tukikaa kimya hawatapata tension yoyote ya kurumbana na Ku attack some girls ambao wanaonyesha kuto kukubaliana na mtoa post
3.Nawasukuru sana wanaume wote na nawasisitiza kina mama wenzangu tuzidi kuwaombea, tuwaombee hebu fikiri kizazi tulicho nacho kipo hivi je kijacho kitakuaje? Ni muda sasa umefika wa kukaza mikanda na kuiarisha malezi ya watoto wetu, maana bila shaka hawa wachache hawa wanasadifu malezi Duni waliyoyapata katika ukuaji wao na kifikia hatua kuanika kiungo cha mwanamke kama waanikavyo nguo juu ya kwamba.
Wa Allaahu A’alam.

Poleni sana lakini si kila mwanaume anaweza kufanya kitu cha kijinga kumdharirisha mwenzie kwa kigezo tu cha kuwa jinsia tofauti, la hasha!! Ni wajinga wachache tu wenye mawazo finyu wanaoweza kuthubutu kuweka hadharani siri za mpenzi au ex wake.
 
Hahahaaa kweli Ile thread iliwagusa, mimi sikujua kama iliwagusa kiasi hichi,

Mimi nilichukulia kama ni utani tu wa jf, kumbe dada zetu, mama zetu waliumia kiasi hichi!!

Tuacheni kuanzia leo kuongelea viungo vyao maana tunawaumiza wakati wao ndio tulizo letu hawa.
 
Ingekuwa in real life sio maombi tu, bali na viboko ingebidi vihusike.
Mungu asaidie tu hiki kizazi, vitoto vinaropoka utafikiri vilizaliwa stand!!!
Aaaaaah jamani mbona na nyie mnatusemaga sana humu kuhusu maumbile yetu ila tunachukulia kama changamoto tu, ila naona nyie imekua soo kubwa kuzungumziwa
 
Angalia nyuzi nyingi za hayo mnayoita maumbile yenu zimefunguliwa na jinsia gani, huwa mnazifungua wenyewe. Seems ni kitu mnachopenda sana kuongelea.
And sio mashindano.
 
Hahahaaa kweli Ile thread iliwagusa, mimi sikujua kama iliwagusa kiasi hichi,

Mimi nilichukulia kama ni utani tu wa jf, kumbe dada zetu, mama zetu waliumia kiasi hichi!!

Tuacheni kuanzia leo kuongelea viungo vyao maana tunawaumiza wakati wao ndio tulizo letu hawa.
Seems definition yako ya "utani" ni tofauti sana.
 
Sawa nadhani waanzishaji wa thread wamepata ujumbe ni kitu sasa cha kutekeleza, ila don't take everything frm jf chukua mazuri tu, na ukiona thread inakuchefua fuata ushauri wa dada hapo, ni ushauri mzuri sana. Maana kwenye Ile thread Kuna baadhi ya wanawake wametukana matusi mazito ya nguoni.
 
Siku za karibuni kumeibuka thread nyingi sana zenye aidha kuponda au kukashifu wanawake, ninachoweza kusema ni kwamba hazinifurahishi lakini hazinifanyi nichukie maana najua ni mapungufu yaliyotokana na makuzi Duni ya baadhi ya wanaume ambao wao hudhani kumuumiza na kumfadhaisha mwanamke ndio furaha pekee waliyoibakisha. Sipingi kua hata sisi wanawake baadhi yetu tumekua tukiongea vibaya juu ya wanaume ila ni ukweli pia viungo vyetu vya mwili vimepunguzwa thamani kubwa humu JF kwa maana haipiti siku bila ya kuzungumziwa kua vinanuka,vikubwa kama bwawa,vichafu n.k na kila avizungumziaye hutoa reference ya mpenzi/wapenzi wake
Wanawake hatukatai ushauri, tunaomba kama kuna ulazima wa kuvingumzia basi mnapovizungumzia mvizungumzie katika namna ya ushauri ili sasa mtu mwenye hali ya kufanana na hiyo au vyovyote vile apate faraja na maana nzima ya MMU na si kejeli, matusi na kushutumiwa, hapo awali niliamini ndani ya MMU kuna Mpenzi,Mahusiano na urafiki ambavyo huzaa upendo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda naiona MMU ya migogoro na ukosefu wa amani ya moyo miongoni mwa wafuatiliaji. Hakika hili si jambo zuri
************ USHAURI WANGU********
1. Wakina mama wenzangu na akina Dada wote wa JF nawashauri tuwe wavumilivu maana Mwanamke ni jalala kila jambo baya hutupiwa yeye,sisi ni ngazi tunatumika kuwaweka wanaume juu huku sisi tukisalia pale pale na kwa bahati mbaya wakifika juu uwezekano wa kukumbuka kuipandisha ngazi pia iliyomfikisha hapo ni finyu sana, zaidi zaidi ataitia teke ili wengine wasipande.
2.Tuache kubishana nao, kadri tunavyojibishana na watoa thread zinazotuweka katika hali ya kudharirika ndivyo tunavyozidi kuchochea kuni za kibuli chao, hivyo ni vyema sasa tukaacha kuchangia Uzi wowote wa aina hiyo , kumbuka " jibu la mjinga ni kimya ". Naamini tukikaa kimya hawatapata tension yoyote ya kurumbana na Ku attack some girls ambao wanaonyesha kuto kukubaliana na mtoa post
3.Nawasukuru sana wanaume wote na nawasisitiza kina mama wenzangu tuzidi kuwaombea, tuwaombee hebu fikiri kizazi tulicho nacho kipo hivi je kijacho kitakuaje? Ni muda sasa umefika wa kukaza mikanda na kuiarisha malezi ya watoto wetu, maana bila shaka hawa wachache hawa wanasadifu malezi Duni waliyoyapata katika ukuaji wao na kifikia hatua kuanika kiungo cha mwanamke kama waanikavyo nguo juu ya kwamba.
Wa Allaahu A’alam.
Hakika wanawake na wasichana wengi humu ndani ni werevu na ushauri wako mahususi watauelewa na kuuishi. Kwetu sisi akina baba na baadhi ya wavulana tuache matumizi ya lugha za kashfa na zile chongeshi na gombeshi. Sitaki kuamini kwamba ipo siku kutakua na vita kuu ya jinsia, yaani jinsia moja kutaka kuingamiza jinsia nyingine. Basi kwakua ndoto hiyo mbaya haiwezi kutokea hasilani, yamkini tuishi kwa kupendana na kushirikishana tamu zetu.
 
Wanawake na maendeleo mfanye kazi msonge mbele oooh (Vick Kamata voice)
Wanalialia wakalee watoto huku si ibadani mfyuuuu
Na mimi naruhusiwa kuchangia au ....

Menichekesha sana

humu kila mtu anatumia id fake na hakuna mpango wa kujuana na mtu yeyote. ila ukianzisha mada hapa kuna wengine wanafuka volkano ya oldonyoo lengai

embu mjirekebishe bwana kama mtu katoa mada ya kujirekebisha, jirekebisheni kimya kimya na mshukurru mmeambiwa ukweli

leo wakitkea wakakuambia wewe mzuri, una chura, sijui mnato kwwa nini msikasirike kwa nini mnasifiwa na mkaanzisha mada kwa nini mnatusifia sana na sisi

mwisho wa siku mtasema tunawataka pyeeee zenu mbadilike muache drama za bongo muvi

anyway kumbe inawahusu wanawake ila msitubague tunaingia popote pale
alahhhhh mxiuuuuuuu
 
Back
Top Bottom