miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
- Thread starter
-
- #221
May be you are not interested in him. Hivi, hujawahi sikia mtu anapenda ukimya wake?
i think sina tatizo kwa kweli am okey ..
hii inaonyesha hauko sure na wewe binafsi....na maisha yako!!
Unakuta he keeps reverting to the same old topic.let me help u its a national if not nation disaster,ila kama ukiona mtongazaji hana cha kuongea kwa nini usismsaidie kuanzisha topic ? kwa nini umsubirie yy ttu aanzishe maana kutongoza sio jambo jepesi sana.
Kuna wengine hawana karma ya kuongea, so itakuwa vyema ukimuanza wewe!!!
biashara inaenda imeyumba kidogo mvua mvua za hapa na pale nashindwa fanya kazi vizuri ila baada ya wiki mbili mambo yatakuwa mazuri
tutafutane kwa ushauri....
uje na ile hela..... alafu ule mkataba usisahau ndo muhimu kuna mtu nataka tumshike maskio
vita ni vita mura..
sasa wewe miss chagga unataka hasikwambie i love you bali aseme i hate you au unataka hasikwambie una umbo zuri una umbo baya dizaini ya bata?au maana sijakusoma kabisa
miss chagga kazi za ofisini na nyumbani zikikuboa nitafute tena....!:baby:
sasa mkuu unakuta mwingine swala mtongozo tayari lakini unakutana nae tena anaanza nakupenda, mtot mzuri, unakalio kubwa wakati mimi ninaumbo la kichaga kalio ni mtihani ... hapo sasa ndo napo pata hasira
Kuamza mie sio issue, but how does it flow from there? Does he catch the flow and go along with it?
basi siunasema nakupa ata udalali wa kutafuta kinga ya DENGUE?
Inawezekana hajui timing, wapi akuambie hayo. Lakini hilo nakupenda nitakuambia till I die. Assume tupo romantic moment kwa bed, unataka tuanze discussion za katiba mpya? Hapo ni ooh baby u are sweet than the sweetness itself.