Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

Ushauri kwa wanasiasa vijana "Usiharibu Kwenu"

Hata wewe hapo UTAKUFA.
Imeandikwa,
mwandadamu aliezaliwa na mwanamke, siku zake za kuishi si nyingi tena hujaa taabu,

Na ikaandikwa tena,
watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Ni dhambi ya ujinga kuishi kama digi digi na kufa kindezi kama nyumbu gentleman šŸ’
 
Hakuna mfuasi wa Kristo akawa MUUAJI.

Labda Allah Samia.
na hakuna mja wa Allah timamu,
atakae angamia kwa kukosa maarifa, ispokua lofa tu ambae hukubali kubebwa ufala wa kifikra na kudanganywa eti agomee kula au kunywa maji huku akiwa katibua minywele kama wendawazimu šŸ’
 
na hakuna mja wa Allah timamu,
atakae angamia kwa kukosa maarifa, ispokua lofa tu ambae hukubali kubebwa ufala wa kifikra na kudanganywa eti agomee kula au kunywa maji huku akiwa katibua minywele kama wendawazimu šŸ’
Damu za watu zimeshakupanda kabisa kichwani
 
Yes,
Nyerere alikua sahihi 100% kwamba taifa letu lazima liwe na vijana brilliant mentally, wajeuri na majasiri kifikra, wenye adabu, utii na heshima kwa mamlaka na katiba ya nchi na sio vijana waoga, wenye ujasiri wa kutukana viongozi, kuchochea ghasia, uharibifu na maafa halafu wanakimbia nchi za ugenini wakawe watumwa wa ujinga wao.

I think Nyerere was perfect 100%šŸ’Ŗ
Screenshot_20260523-112653~2.png
 
"Usiharibu kwenu" ni msemo wa kiswahili uliobeba maana nzito ya kutunza sifa yako, uhusiano wako, na kutunza heshima, sifa na mazingira ya kwenu unakotoka na au unakoishi.

Ni msemo unaolenga kutukumbusha kama vijana na jamii nzima kwa ujumla, hususani katika siasa kutoleta fujo, kutokuchochea uadui, uharibifu au maafa mahali ambapo ni nyumbani kwako au au kwenu kwenye msingi wa maisha yako.

Kuharibu kwenu iwe ni kwa tabia mbaya ya kuchochea chuki, ghasia, migogoro ya kisiasa au usaliti wa mahali unakoishi, unakofanya kazi, usaliti wa chama chako cha siasa, usaliti kwa serikali au nchi unayotoka, huleta athari kubwa sana kijamii, kiuchumi na kisiasa.

Na miongoni mwa athari kubwa zaidi ya kuharibu kwenu ni pamoja na kupoteza hifadhi salama ya kudumu na msaada wa mwisho wenye amani zaidi wakati wa shida.

Hasara nyingine za kuharibu kwenu,
ni pamoja na kutengwa na jamii, kutanga tanga, kukosa amani ya nafsi yako na kuishi kwa hofu kama sungura, kuharibu sifa ya familia yako, kuandamwa na upweke wenye msongo wa mawazo, kukosa fursa za kiuchumi na kukwamisha maendeleo ya nyumbani kwenu, kuwafungia milango ya fursa watoto wako na kuwakosesha amani familia, ndugu, jamaa na marafiki zako.

Hizo ni athari za kuharibu kwenu kwa uchache tu. Unaweza kuorodhesha na athari zingine nyingi kadiri uwezavyo.

My friends, ladies and gentlemen Siasa ni sayansi,
sasa nyinyi vijana ni siasa ya aina gani mnafanya hata muharibu taifa lenu wenyewe na kukimbilia ugenini na kuishi kama digi digi kwenye mataifa ya ugenini? Unaijoy nini sasa hapo kama sio kujitia msongo wa mawazo na kujikosesha amani kwa makusudi?

Why are trying so hard to make yourselves so special than special itself, while for sure you're nothing and completely fake politicians politically speaking?.

You know politics needs high levels of discipline, proper thinking capacity and ofcourse technics and objectives in digesting, dissecting and executing political issues in acodence to the environment.

Why don't you apply some of 48 laws of power technics to achieve your political goals instead of insulting the leaders of government in place and running abroad?

Una maoni gani kama mdau wa siasa za Tanzania. Je, kuna faida yoyote ya maana ya kuharibu nyumbani kwenu na kukimbilia ugenini?šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Hoja nzuri sana comrade. Hongera sana.
 
Ni kheri ufe umesimama Kuliko kuishi umepiga magoti!
Maisha gani ya kulamba watu miguu kwa maslahi Yako binafsi!
Siamini kama Kuna mpambanaji aliyepata mafanikio kwa jasho lake anayeweza kuwa Chawa kiasi hicho!
Uchawa ni zao la uvivu na umasikini wa Mali au fikra!
Gentleman,
kwamba kutibua minywele,
kugomea chakula na kuishi ugenini kama mtumwa baada ya kuharibu nyumbani ndio mpango mzima wa mapambano ya kisiasa right?:pedroP:
 
Gentleman,
kwamba kutibua minywele,
kugomea chakula na kuishi ugenini kama mtumwa baada ya kuharibu nyumbani ndio mpango mzima wa mapambano ya kisiasa right?:pedroP:
Nimemquote mtu mwingine,ingekuwa vema kama ungechallange nilichomjibu na sio kunihamisha kwenye issue haihusiani na nilichomjibu mtu mwingine!
Nimeona thread ni porojo zile zile za propaganda mfu,ndio maana nikapita tu bila kuandika chochote kuijibu thread!
 
Nimemquote mtu mwingine,ingekuwa vema kama ungechallange nilichomjibu na sio kunihamisha kwenye issue haihusiani na nilichomjibu mtu mwingine!
Nimeona thread ni porojo zile zile za propaganda mfu,ndio maana nikapita tu bila kuandika chochote kuijibu thread!
ok. :pedroP:
 
Back
Top Bottom