Ushauri kwa wanaoingia chuo mwaka 2016

Hizo Points Zako 3 bado Hazijaleta Maana, Sijui unaogopa nini? Hebu Zifafanue ili tufaidike mana umetuacha Dilemma.
 
Bora ufanye ivyo kushauri awa vijana. Sio unaenda kusoma kuendesha ndege na wakati hata Gari ujui kuendesha na pesa yenyewe ya kuunga unga ni bora usome kozi kama electric engineering ambayo unaweza ukajiajiri
 
Kila mtu asomee anachopenda kutoka moyoni, usisome course kwa kujidanganya kwamba ina hela nyingi. Happiness is everything
 
Bora ufanye ivyo kushauri awa vijana. Sio unaenda kusoma kuendesha ndege na wakati hata Gari ujui kuendesha na pesa yenyewe ya kuunga unga ni bora usome kozi kama electric engineering ambayo unaweza ukajiajiri
you are not serious mkuu.umekisoma hiki ulichokiandika?
 
Back
Top Bottom