Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

hembu acheni kudanganyana udom ni chuo majengo!!! kama yule lecture wenu anayeitwa madam suzy anayekagua hadi viatu akija darasani badala ya kufundisha ...maji majanga ..usafir saa mbili hamna, walinz wanawakamata wanafunz kisa nguo fup au zimebana!!! udom kimepoteza cfa ni kama kampala international university(KIU).
 

Heh kwa sababu ulizotoa sidhani kama zina madhara kwa masomo, hayo ni mambo ya kawaida.
 
Heh kwa sababu ulizotoa sidhani kama zina madhara kwa masomo, hayo ni mambo ya kawaida.

Umeona eeh, mi nilijua anaweka point kumbe abdofusement tupu! Tusitishike wana udom, cha muhm kuheshm kinachotupeleka pale, na si usharobaro wa bila sababu
 

Haya basi nawewe tunakushukuru kwa mchango wako
 
 
 
Ubarikiwe sana Mkuu kwa kuwajali Watanzania wenzako. Ni wachache sana wenye moyo kama wako
 
Ahsanten wadau wote kwa kunifumbua macho.before i knew nothing about UDOM.Mungu awazidishie mioyo ya iman.
 
Yaani waungwana mmecover kila kitu tunashukuru sana ns mungu awajalie mfanikiwe maishani!!

Vipi wanaruhusu kufika chuo 1week kabla ya registration kuanza??
 
Unastahili pongezi kwa kuwafungua macho hawa nduguzo wanaenda kuanza kutafuta za nepi huko dodomaaa, kwan wengi ulizwa kwa mtindo huo na mingineyo, Wubarikiwe xana kwa ushauri huu.
 
Mkuu kwa ulichokifanya ktk hii post yako ni jambo zuri sana lenye kupendeza na ukarimu ndani yake nazidi kuamini waTZ wote ni ndugu na kwakupitia JF tutaelimishana na tutakuwa wamoja kwa msaada wa mtu mmoja mmoja na hata kwa taifa
 
hili swali halija ulizwa`vipi kuhusu library iko poa?,and kila college ina library yake or ipo moja 2 chuo kizima? 2saidieni kwa hili
 
daaaah..pole sanah kaka!! mungu atakubariki utapata kazi ya ulinzi sehemu nyingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…