Na wale walochaguliwa computer engeneering wanapanda daladala za kwenda kitivo gani wapi?na vipi kuhusu kuhusu mavazi NAOMBA UNIFUMBUE MKUU
Totoz wapo ila usisahau kontena la mama, kama hufaham maana ya kontena pm ujibiwe
vp totoz zinapatikana lakini au ni magumashi
Mkuu vipi kuhusu barchelor of science in physics kwa uelewa wako unadhan iko poua hapo udom, je inalipa au ndo kuishia ualimu nadhan ipo ndan ya college of natural science naomba sana unipe maelezo ya hii college kwa upande wa chakula,mavazi,hostel,maji, usafiri na burudan zote kwa ujumla naomba msaada wenu wadau ili tujipange kwa uzuri
Hongereni kwa kuchaguliwa "The White University" Nawashauri hivi:-
1. Yapo makampuni ya mabasi yatawataka mlipe pesa benki ili yawasafirishe hadi UDOM- Kataa kwani watakupiga hela
halafu safari utaiona chungu. Hata wakijifanya wameingia mkataba na chuo, usiingie mkenge. Chukua basi kwa
kujitegemea wewe mwenyewe.
2. Stendi ya daladala zote ndani ya Dodoma huanzia safari zake stendi ndogo ya daladala-Jamatini. Kuwa makini na
eneo hilo kwani waleti na simu za mkononi hapo zinasakwa kwa udi na uvumba.
3. Uwe na uhakika wa College unayokwenda. Kwa kifupi, ziko daladala zinazokwenda Education, jina jingine wanapaita
Ng'ong'ona ama Ng'ox. Wale waliochaguliwa college of Education, Medicine, Informatics na natural Science upande
daladala hizo, vinginevyo utapata tabu kubwa.
4. Wewe unaekwenda College of social science pamoja na humanities panda daladala inayokwenda Social au Bondeni.
Kinyume na hapo utajiju.
5. Nauli kwa daladala ni Tsh 350 kwa safari yoyote ndani ya College, Kutoka Jamatini hadi Chuo ni 350 pia. Wahuni
wanapiga hadi 1500/- kwani wanajua kuwa ni wageni hamjui kitu.
6. Tax inategemea maelewano, standard bei ni elf 8-10. epuka kupanda tax kwani utazungushwa mjini mitaa karibu
yote na watakwambia bei kubwa, hata hivyo, kama huna uhakika wa college yako pia wanaweza kukuingiza ndani
ya chuo wakakuzungusha college zote, watakuchanganya na majengo then watakupiga hela ndefu.
7. (kwa wanaokwenda social science) Chagua mavazi ya heshima kwani ukidhani unakwenda kujiachia unaweza
ukajikuta unarudi nyumbani siku hiyo hiyo, Kwa wanadada, vimini, suruali za kubana, nguo za ajabu ajabu waachie
wadogo zako. Kama huna za kushonesha anza kuzitafuta. Kwa wanakaka, punguza idadi ya majinzi ( Hasa kwa
wanaokwenda social science), mitindo ya kata K, kukwenDodoma na Hivi kwa sie ambao tunataka kuja kubadilisha kozi je inawezekana. Me nimechaguliwa bachelor of ed in special needs nataka kuchange na kuchukua bachelor of ed in Ict nijuze
Safi, nimeona jinsi watz wanavyoweza kupeana habari, ila inaonkana UDOM ni bonge la kijiji ambacho waweza maliza miaka mi3 hujakijua chote, na hivi hadi sasa kuna stdent wangapi? maana walikuwa wanaaim elfu 40.
Zipo Masterz degree program nyingi mno. Na hata Wanaosoma PHD wapo. tembelea website uangalie wale waliochaguliwa post graduate uone zilivyo nyingi
MAKOLE kama intakuwa sjakosea pa1 na watu kuuliza burudani na mambo mengine mengi ikiwa viwanja vya mipira,cafetarie,kuogelea ku watch Epl na burudani kibao za ndani ya chuo na hasa nje ya chuo wakiwa wamepata 'boom' na shida za usafiri na kuibiwa! Lkn kubwa ni kwamba wakumbushe wale masharobaro wanaokuja na sura za dada zao na masster duu wawe na mioyo kishujaa,kizalendo na wakupigania haki yao kama MIOYO mliokuwa nayo ya kuandamana na kugoma pale mlipoona haki yenu ya kiielimu,kijamii,maradhi nk haitendeki kwaajili yenu na wadogo zenu waliokuwa nyuma
na hata kipindi cha nyuma nilikuwa nikiuliza kwanini mgomo ukiachilia mbali madai yao walinijibu (wakati huo mabomu yapgwa vbaya mno hapa walipokuwa walipokuwa wanatakwenda bunge!) kuwa wapo kwa lolote lkn kuwajengea misingi MIZURI wadogo zao wanao kuja!!
samahani kama ntakuwa nimekosea nadhani walekebshaj watalonga! Na sio kama nachochea au kuwatisha bali wanatakiwa kujua pazuri lazma kuna vkwazo na kwenye wengi (fedha)walaji,mafisad hawakosekani na pia wapgania haki hawakosekani!
ni hayo tu!!
Hongereni kwa kuchaguliwa "The White University" Nawashauri hivi:-
1. Yapo makampuni ya mabasi yatawataka mlipe pesa benki ili yawasafirishe hadi UDOM- Kataa kwani watakupiga hela
halafu safari utaiona chungu. Hata wakijifanya wameingia mkataba na chuo, usiingie mkenge. Chukua basi kwa
kujitegemea wewe mwenyewe.
2. Stendi ya daladala zote ndani ya Dodoma huanzia safari zake stendi ndogo ya daladala-Jamatini. Kuwa makini na
eneo hilo kwani waleti na simu za mkononi hapo zinasakwa kwa udi na uvumba.
3. Uwe na uhakika wa College unayokwenda. Kwa kifupi, ziko daladala zinazokwenda Education, jina jingine wanapaita
Ng'ong'ona ama Ng'ox. Wale waliochaguliwa college of Education, Medicine, Informatics na natural Science upande
daladala hizo, vinginevyo utapata tabu kubwa.
4. Wewe unaekwenda College of social science pamoja na humanities panda daladala inayokwenda Social au Bondeni.
Kinyume na hapo utajiju.
5. Nauli kwa daladala ni Tsh 350 kwa safari yoyote ndani ya College, Kutoka Jamatini hadi Chuo ni 350 pia. Wahuni
wanapiga hadi 1500/- kwani wanajua kuwa ni wageni hamjui kitu.
6. Tax inategemea maelewano, standard bei ni elf 8-10. epuka kupanda tax kwani utazungushwa mjini mitaa karibu
yote na watakwambia bei kubwa, hata hivyo, kama huna uhakika wa college yako pia wanaweza kukuingiza ndani
ya chuo wakakuzungusha college zote, watakuchanganya na majengo then watakupiga hela ndefu.
7. (kwa wanaokwenda social science) Chagua mavazi ya heshima kwani ukidhani unakwenda kujiachia unaweza
ukajikuta unarudi nyumbani siku hiyo hiyo, Kwa wanadada, vimini, suruali za kubana, nguo za ajabu ajabu waachie
wadogo zako. Kama huna za kushonesha anza kuzitafuta. Kwa wanakaka, punguza idadi ya majinzi ( Hasa kwa
wanaokwenda social science), mitindo ya kata K, kukwenDodoma na Hivi kwa sie ambao tunataka kuja kubadilisha kozi je inawezekana. Me nimechaguliwa bachelor of ed in special needs nataka kuchange na kuchukua bachelor of ed in Ict nijuze
kwa nini college waliziweka mbalimbali kiivyo
makole vp kuhusu rooms, 2nalala wangap room moja? wote ni mwaka wa kwanz or wana2changanya? room mate mnachaguana or mnapangiwa? nisaidieni plz
Yote yanawezekana, Unaweza kuomba kukaa wanne mwaka wa 1 watupu. Utaratibu ni kwamba mnapangiwa na mawadern. Rum moja ni watu wanne kwa kawaida.Riooms zipo nyingi hadi kero, hamuwezi kuzijaza hata waingie wanachuo elfu hamsini leo, na hata godoro zipo za kutosha. Kimsingi, mkitaka fevor mnamuomba wadern, ila ndo ivo tena, mambo yetu yale ya kuch.....chu..a..Mikenda wote mnaohitaji kuishio rum moja ni vema sana. Pia floo nzuri za kuishi ni ya 1 na pili. ground vumbi na usalama mdogo kwani mkijisahau kufunga dirisha hatari, 3&4 mbali, lift hakuna. kwa wenzangu mimi tunaopiga simu nyumbani na kuwaeleza kuwa tunalala gorofani kama ndege hapo kwenye 3&4 zitawafaa, ingawa nazo ni nzuri kwani kumetulia sana